Juma mwas
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Juma mwas, Health/Beauty, 0718600296, Nakuru.
09/09/2024
ĨĨ Tatigaa 😂 Huyu usijaribu kukura fare yake😂
03/09/2024
Ki2 ingine nilikuja kujua ni ety ata ukue mcarefully aje huwezi Hara pole pole in silent mode😜🤣😂😂😂😂😂
03/09/2024
02/09/2024
Kuna style mpya imetokea inaitwa arsenal 😅🙈 uko juu lakini hufanyi kitu😂😂
02/09/2024
Brayo : hi beb
Sharo : hi too darling
Brayo : beb nakumiss nataka ukuje Leo
Sharo. : Sina fare ebu tuma nikuje
Brayo : niaje peter
Peter : poa we mjinga niambie 😁
Brayo : Sharo amekata kuja kuniona ety hana fare
Peter : Haha😆 hiyo tu ebu ngoja kiasi
Peter : Hey sharo mamboz
Sharo : poa sana habari ya brayo wangu
Peter : Hehe ety brayo wako😁 si mliachana aty, Hadi brayo sai ako na dem mwingine Kwa keja, dem mrembo na amebeba wee alafu ni mweupe aki sikuamini brayo anaeza pata dem mrembo k**a huyo kweli mtoto wa wenyewe ameangukia😔
Sharo : aty koo ako na dem mwingine Kwa keja sai🥺
Peter : Eeh wewe mwenyewe kuja ujionee tu
Sharo : Nakuja tu sai dakika 5 ntakua hapo
Peter : Sawa wewe pita tu ady Kwa nyumba ujionee hta usibishe anaeza mficha chini ya kitanda 😁
Peter : we mjinga unaunda keja au unangoja dem yako apate ikiwa chafu😂😂
Brayo : you mean anakuja🤨🤨
Peter : wee jipange mbwa wewe 😁
02/09/2024
Tukifika caanan sitaki mchanganyiko,,,Kila mtu ashike tribe yake hapa 🤣🤣..Walevi mtakua Waleviticus 😂😂😂,wale wa kuitana baby mtakua Babylonians 😂😂wale wa kuvaa hodie na nyinyi mtakua Wayahudi🤣🤣alafu wale madem wa Haga kubwa 🤣mtaitwa haggai🤣🤣na wale madem wa saloon mtaitwa Thessalonians😂Waluhya na ugali yao 🤣🤣🤣mtaitwa Wagalileyo 😂alafu Mafisi si mnajijua tu🤣nyinyi mtaitwa Wafilisti🤣🤣🤣🤣🏃🏃🏃..... anyway follow me
02/09/2024
Hii Kenya Mahali imefika sasa Naona kila mtu ni mwizi 🤣🌚!!
Ni Jana Tu nimebeba mama na mtoto akimrudisha shule then ananilipa na please call me 🤢🤨🤣,
Sasa ju ni mama na kuna vile tunaamini wanawake 😱, mimi na ujinga yangu sikua na haraka ya kuangalia message lakini nilisikia sauti ya katululu tuliluliluiiii 🤗😹😄, nikajua basii pesa imeingia na akaniambia ni confirm! then wakashuka 😆🥹😠,.....
Masaa ya lunch kufika nikajua Niko na Mia tano 😹😅😡, nikaingia base flani hapo Tao nikaitisha UGALI MLIMA NA KUKU 🤣🤣🌚, then nilipe na Till 😹. Hapo ndio niligundua sina kakitu M.pesa balance ni 13bob mamayangu 🫤😡🤣, na Ile namba ilituma please call me 🤢, nikipiga iko diverted kwa 999 oiye kikaumana 😱😩🤨🙀, Bahati yangu nikakumbuka besty yangu anakuanga Bongo Tz Wakuu huyo diye aliniokolea..... 😂🤣🤣👊👊👌 Follow me please
02/09/2024
Last weekend nilitembelea my Rich Uncle and I was served with two slices of bread,an egg and a tiny cup of tea, his kids were like "can you finish all that nilishindwa tu cha kuwaambia.na hii kazi ngumu natakufa njaa
02/09/2024
🦋Nimepika.... Nimekula.....nimeshiba....simu iko na bundles🤣🤣 ..Sina stress 🙈🙈.. shule sikumaliza,,,😂😂.
Nakuanga colour blind 🙈..sionangi blueticks😉😉 sijasota snaaa😃😃.. Mimi sio wewe 🤩 wewe sio Mimi😎😎Mimi sio wenu☺️wewe sio wetu😆,,Tena nimehama Kenya Niko Nairobi,,, stress nitatoa wapi surely 🤸🤸🤸 ..... Otherwise 4+4=44 😂😂😂 follow please🙏🙏🙏
01/09/2024
man u+gu=manugu
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Nakuru