Afya na mwonekano

Afya na mwonekano

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya na mwonekano, Health/Beauty, .

18/07/2022

K**A NI MWANAUME MATUNDA NI MUHIMU SANA KWENYE AFYA YA UZAZI Matunda yana faida nyingi sana za kiafya mwilini. Ukiachana na ladha tamu inayotokana na kula matunda, kila mtu anashauriwa ale matunda tofauti yasiyopungua matano (5) kwa siku ili kupata faida zote mwilini. Faida kuu za matunda ni kuzuia maradhi, kurutubisha kinga ya mwili, kupunguza sukari kwenye damu, kungarisha ngozi, kuleta nguvu na kuleta mafuta asilia kwenye mwili. Pia Kwa Wanaume matunda k**a matikiti, zabibu nyeusi na ndizi mbivu yanauwezo mkubwa wa kuboresha mzunguko wa Damu kwenye Uume hivyo kuongeza Uwezo wa kuperfom vizuri kwenye tendo la ndoa. Matunda yana virutubisho asilia ambavyo ni mahususi katika kujenga mwili na kuufanya kuwa na afya njema. Matunda hubeba virutubisho muhimu k**a potasiam, vitamin C, vitamin A, nyuzi nyuzi (fiber) na folic acid, ambavyo pia Afya ya UZAZI inahitaji sana Virutubisho hivi ilimradi kuwa imara zaidi. Ulaji wa matunda unasaidia mwili hukufanya kupata faida zifuatazo: ➡️ Yanapunguza hatari ya kupata magonjwa ya moyo na kiharusi. ➡️ Yanakinga mwili dhidi ya aina za saratani. ➡️ Nyuzi nyuzi (fiber) za kwenye baadhi ya matunda k**a maembe zinasaidia kulinda dhidi ya magojwa k**a msh*tuko wa moyo (heart attack) na kisukari. Lakini pia inasaidia kupunguza madhara ya uvimbe unaotokana na kuwa na chumvi nyingi mwilini. ➡️ Kula matunda yenye potasiam k**a ndizi na apricot kwa wingi yanasaidia kupunguza magonjwa ya shinikizo la damu. Matunda aina hizi husaidia pia kupunguza mawe kujaa kwenye figo. NOTE; KULA MATUNDA YA AINA TOFAUTI KILA SIKU UWEZE KURUDISHA HESHIMA YA NDOA 🔥. Karibu tukuhudumie tukupe ushauri na kukupa makala nzuri juu ya afya ya uzazi na tendo la ndoa 📌 𝐂𝐀𝐋𝐋/ 𝐖𝐇𝐀𝐓𝐒𝐀𝐏𝐏 +255 672516419

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya na mwonekano posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.