Urembo na ujasiriamali
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Urembo na ujasiriamali, .
16/05/2020
💕OFA💥💥OFA💥💥OFA💥💥💕
KATIKA KIPINDI HIKI CHA SIKUKUU TUNACHORA PIKO NA HINA KWA BEI CHEE KABISA🌷.
NJOO UNOGESHE SIKUKUU YAKO KWA KUCHORA PIKO AU HINA🌷.
IRINGA NDIYO NAPATIKANA KIHESA MINYARANI (TRM) KARIBU KABISA NA TUMAINI HIVYO KARIBUNI SANA UTAPENDEZA NA HAUTAJUTA🌹🌹🌹🌺🌺🌺🌼🌼🌼🌻🌻🌻
PIA NAFANYA MAKE UP HIVYO USIPANGE KUKOSA OFA HII YA SIKUKUU MPENDWA💗💗💗💗
KWA MAHITAJI YA KUPENDEZA ILI KUNOGESHA SIKUKUU YAKO WASILIANA NAMI 🌲🌲🌲🌲🌲
0783796561 whatsapp na
0764291406 na 0655904090 kwa njia ya kawaida
25/04/2020
NDANI YA MWEZI HUU NAANZA KUFUNDISHA UREMBO KATIKA NYANJA ZIFUATAZO;
1- kuondoa chunusi
2- kuwa soft
3- kuwa na lipsi raini na kuondoa weusi wa mdomo
4- kuondoa weusi na wekundu mwilini
5- kukuza nywele na kuzilinda zisikatike na kufanya zivutie
6- kuongeza mahipsi kidogo
7- kuondoa madoa sugu makovu na chunusi
8-kufanya uwe na rangi ya chocolate
9- kusimamisha matiti au kuyafanya yasiwe makubwa sana
10- kupunguza unene na mafuta mwilini.
11-kuondoa vishimo usoni
12- kutengeneza rosheni
13-kutengeneza shampoo
14-kuondoa makunyanzi
15- kurudisha tumbo lililoregea au kitambi.
ADA YA MAFUNZO NI K**A IFUATAVYO
-Facebook tsh 500
-whatsapp tsh 1000
NJOO INBOX
AU whatsapp 0783796561
Karibuni wote.
03/04/2020
29/03/2020
NJOO UJIFUNZE KUTENGENEZA KASHATA NA TAMBI ZA DENGU.
mafunzo ni
1- whatsapp
2-facebook
3- ana kwa ana
Ada ni nafuu kwa elfu moja ya kitanzania.
Whatsapp 0783796561
Au comment namba yako ya whatsapp.
NYOTE MNAKARIBISHWA
28/03/2020
Karibu whatsapp ujifunze kutengeneza karanga za mayai na ubuyu . Ada ni elfu moja tu.
Whatsapp 0783796561
24/03/2020
KARIBU UJIFUNZE KUTENGENEZA SHAMPOO KWA USAFI WA NYWELE.
mafunzo yanatolewa kupitia
1- whatsapp
2- Facebook inbox
3- ana kwa ana
ADA NI NAFUU NI ELFU MOJA YA KITANZANIA TU.
nicheki whatsapp 0783796561 au piga 0655904090 .
Wote mnakaribishwa.
Au acha namba yako ya whatsapp kwenye comment hapo chini,
17/03/2020
Naitwa madam zuu karibu page yangu
Website
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Urembo na ujasiriamali posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.