Afya

Afya

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya, Health/Beauty, Ilala, Dar es Salaam.

30/08/2022

UGONJWA WA BAWASILI DALILI MADHARA NA TIBA YAKE

Bawasiri ni nini
Huu ni Ugonjwa unaotokana na kuvimba/kupasuka kwa mishipa ya damu sehemu ya haja kubwa na kupelekea kuota kwa kinyama amcho ndio huitwa Bawasiri/mgoro/Hemorrhoid nk

SABABU YA BAWASILI

Sababu kubwa ya mtu kupata Bawasiri ni Mgandamizo sehemu ya haja kubwa ambapo mgandamizo huo hupelekea kupasuka/kuvimba kwa mishipa midogo midogo ya damu aina ya veins sehemu ya haja kubwa hivyo hupelekea kuota kwa Vinyama sehemu ya haja kubwa

DALILI ZA MTU MWENYE BAWASIRI

1.kupata muwasho mkali katika eneo la juu la haja kubwa

2.kujitokeza kwa kinyama/vinyama eneo la haja kubwa

3.kutokewa na kiuvimbe katika tundu ya haja kubwa

4.kupata kinyesi chenye damu

5.kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia

Kupata maumivu ya tumbo/kiuno hasa Bawasiri inapofikia hatua mbaya
MAMBO YANAYOWEZA KUSABABISHA MTU KUPATA BAWASIRI

1.Uzito kupita kiasi(Overweight)

Ujauzito
3.Kunyanyua vitu vizito na Mazoezi makali

4.Kukaa sana sehemu eneo moja mda mrefu

5.Kuingiliwa sehemu ya haja kubwa( tendo la ndoa kinyume).

6.Kujisaidia Choo Kigumu.

Sababu za kujisaidia choo Kigumu ni:
-Vidonda vya Tumbo
-Ngiri/Hernia
-Ulaji duni

AINA 2 ZA BAWASIRI

BAWASIRI YA NJE
Ni kuota kinyama sehemu ya nje ya haja kubwa ambapo kinyama huwa nje hata k**a hujaenda kujisaidia haja kubwa.

2.BAWASIRI YA NDANI

Ni kuota kinyama sehemu ya ndani ya haja kubwa mara nyingi huambatana na maumivu makali na damu na kinyama hutoka wakati wa kujisaidia haja kubwa.

Bawasiri ya dani ina hatua NNE ambazo ni:⤵⤵⤵⤵
HATUA YA KWANZA
Katika hatua hii mtu hujihisi maumivu makali,miwasho pamoja na kutokwa damu wakati wa kujisaidia na kinyama hakionekani wakati wa kujisaidia.

HATUA YA PILI
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na kurudi yenyewe punde baada ya kujisaidia

HATUA YA TATU
Hii hutokea wakati wa haja kubwa na mtu kuweza kurudisha ndani yeye mwenywe ama inaweza kurudi yenyewe baada ya muda

HATUA YA NNE
Hii ni bawasiri inayotoka na huwa ngumu kurudi baada ya kujisaidia.

ATHARI ZA BAWASIRI

1.Upungufu wa damu mwilini

2.Kutokwa na kinyesi bila kujitambua

3.kukosa hamu ya kufanya tendo la ndoa

4.kupungukiwa nguvu za kiume

5.kupungukiwa na uwezo wa kufanya kazi kutokana na maumivu

6.Kupata tatizo la kisaikolojia

Kupata kansa ya utumbo ( Colorectal cancer)
8.Mwili kudhoofika mwili na kinga kupungua

TIBA YA BAWASILI

Mara nyingi Tiba ilio zoeleka kwa hospital ni upasuaji

Ila tuna bidhaa ambazo zimewasaidia wengi zenye uwezo wa kuondoa bawasili bila upasuaji

Kwa maelezo zaidi Wasiliana nasi kupitia 0624272067

……
Pia TUNATOA ELIMU BURE kupitia Group letu la whatsapp gusa link hii kujiunga
👇🏿
https://chat.whatsapp.com/KXCYGYPxaQ35HDlwxDOgqk

KARIBU TUKUHUDUMIE .ASANTE

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Ilala
Dar Es Salaam
12101