Redberyl beauty
�Online Beauty Shop
�Genuine Products from UK, USA, FRANCE
02/02/2022
➡️𝐓𝐇𝐄 𝐎𝐑𝐃𝐈𝐍𝐀𝐑𝐘 𝐍𝐈𝐀𝐂𝐈𝐍𝐀𝐌𝐈𝐃𝐄 𝟏𝟎% + 𝐙𝐈𝐍𝐂 𝟏%
🩸Ina minimise pores size (inapunguza ukubwa vile vishimo vidogo vidogo kwenye ngozi)
🩸Inaondoa madoa madoa usoni
🩸Inaondoa mafuta yaliyozidi kwenye ngozi
🩸Inang’arisha na kusoftisha ngozi ya uso
🩸Ina reduce sebum production
Matumizi
🩸Unaweza kutumia asubuhi na usiku
🩸Unaipaka ya kwanza kabla ya product zako nyingine
🩸Mtu mwenye ngozi yoyote anatumia ila ni nzuri zaidi kwa mtu mwenye ngozi ya mafuta.
Please & please hakikisha unapata original
NB - ukiwa unaitumia avoid product zenye vitamin C
Tsh - 35,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
02/02/2022
➡️𝐓𝐇𝐄 𝐎𝐑𝐃𝐈𝐍𝐀𝐑𝐘 𝐀𝐇𝐀 𝟑𝟎% + 𝟐% 𝐁𝐇𝐀 𝐏𝐄𝐄𝐋𝐈𝐍𝐆 𝐒𝐎𝐋𝐔𝐓𝐈𝐎𝐍
🩸Ina deep exfoliate ngozi
🩸Inaondoa madoa na kumaliza chunusi
🩸Inaboresha mng’ao wa ngozi
🩸Inapunguza wrinkles
🩸Wale wenye chunusi zilizoahindakana hii sio ya kukosa
Matumizi
🩸Unatakiwa kutumia mara moja tu kwa wiki
🩸Unaipaka kwenye ngozi safi na kavu then unakaanayo sio zaidi ya dk 10 halafu unaosha uso wako.
🩸Kama una sensitive skin please usitumie!
Please & please hakikisha unapata original
Tsh - 35,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
02/02/2022
Benefit of Vitamin C
02/02/2022
➡️𝐁𝐈𝐎-𝐎𝐈𝐋
🩸Ni moja kati ya oil pendwa sana dunian
🩸Inasaidia kuondoa makovu, acne
🩸Inaondoa stretch marks na kuzuia stretch marks
🩸Inasaidia kupunguza kuonekana kwa wrinkles na hyperpigmentation
🩸Inasaidia kusmooth na ku tone ngozi yako
🩸Inang’arisha na kulainisha ngozi
🩸Unaweza kuitumia yenyewe au ukachanganya kwenye lotion yako au face cream yako
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
02/02/2022
➡️𝐂𝐀𝐑𝐎𝐓𝐄𝐈𝐍 𝐒𝐔𝐏𝐑𝐄𝐌𝐄 𝐁𝐎𝐃𝐘 𝐋𝐎𝐓𝐈𝐎𝐍
🩸Ni lotion nzuri mno ya carrot
🩸Inatakatisha ngozi vizuri!
🩸Inaipa ngozi natural glow
🩸Inalainisha na kusoftisha ngozi vizurii
🩸Inaondoa madoa madoa na kukupa rangi moja mwili mzima
🩸Ni nzuri zaidi kwa ngozi yenye mafuta
Tsh - 45,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
01/02/2022
➡️𝐂𝐀𝐑𝐎𝐓𝐈𝐒 𝐋𝐈𝐆𝐇𝐓𝐄𝐍𝐈𝐍𝐆 𝐒𝐄𝐓
🩸Moja kati ya best lotion iliyotengenezwa carrot
🩸Ni lotion ambayo itakupa matokeo mazuri na ya haraka!
🩸Huipa ngozi mng’ao mzuri (radiance glow)
🩸Inatakatisha uso na kuondoa wrinkles
🩸Inalainisha na kusoftisha ngozi vizurii
🩸Inaondoa madoa madoa na kukuacha na rangi moja mwili mzima
🩸Inafufua ngozi iliyofubaa
Lotion - 120,000/=
Face Cream - 80,000/=
Serum - 50,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
01/02/2022
➡️𝐋𝐈𝐆𝐇𝐓𝐄𝐍𝐈𝐍𝐆 𝐔𝐏 𝐆𝐈𝐑𝐋
🩸One of the best lightening and toning lotion from USA
🩸Ni lotion nzuri inayotibu dark spots na kutengeneza ngozi kwa hali ya juu sana.
🩸Its a powerful lightening so inang’arisha ngozi kwa haraka.
🩸Inalainisha na kusoftisha ngozi vizurii
🩸Inaondoa madoa madoa na kukuacha na rangi moja mwili mzima
🩸Ina moisturize ngozi vizur na kuiacha ikiwa na unyevu nyevu.
Lotion - 130,000/=
Face Cream - 90,000/=
Serum - 50,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
01/02/2022
➡️𝐋𝐈𝐆𝐇𝐓𝐄𝐍𝐈𝐍𝐆 𝐔𝐏 𝗪𝐈𝐓𝐇 𝐌𝐈𝐋𝐊 𝐏𝐑𝐎𝐓𝐄𝐈𝐍
🩸One of the best lightening and toning lotion from USA
🩸Nzuri sana kwa wale wanaopenda product za maziwa na kun’gaa kistaarabu
🩸Wale waopenda color moja, rangi ya pesa hapa ndio hii sio ya kukosa
🩸Inaprotein ambayo inarutubisha ngozi
🩸Inalainisha na kusoftisha ngozi vizurii
🩸Inaondoa madoa madoa na kukuacha na rangi moja mwili mzima
Lotion - 130,000/=
Cream - 85,000/=
Serum - 50,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp 0673 373831
01/02/2022
31/01/2022
➡️𝐁𝐨𝐨𝐭𝐬 𝐕𝐢𝐭𝐚𝐦𝐢𝐧 𝐂 𝐒𝐤𝐢𝐧 𝐂𝐚𝐫𝐞
🩸Products hizi ni nzuri na affordable kwa wewe unayetaka kua na kauso kazuri
🩸Zinalinda ngozi na mionzi ya jua, kutengeneza na ku repair ngozi wakati wa usiku
🩸Zinaing’arisha ngozi na kuipa nuru ngozi iliyofubaa
🩸Zitalainisha na kusoftisha uso wako
🩸Zitakusaidia kutoa madoa madoa usoni na kukuacha na rangii nzuri
Day Cream - 35,000/=
Night Cream - 35,000/=
Eye gel - 30,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp > 0673 373831
31/01/2022
➡️𝐃𝐑 𝐑𝐀𝐒𝐇𝐄𝐋
🩸Products nzuri mno za vitamin C za usoni
🩸Kama mnavyojua vitamin C inalinda ngozi na mionzi ya jua
🩸Inatengeneza, Inaing’arisha ngozi na kuipa natural tone
🩸Inalainisha ngozi na kusoftisha ngozi
🩸Toner yake ni nzuri kwa kubalance PH na mafuta usoni.
Toner - 25,000/=
Serum - 20,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp > 0673 373831
31/01/2022
➡️𝐅&𝗪 𝐆𝐎𝐋𝐃 𝟐 𝐋𝐎𝐓𝐈𝐎𝐍
🩸Hii lotion ni nzuri mno, kwawalio itumia wananielewa
🩸Inatakatisha na kuipa ngozi natural glow ya dhahabu
🩸Kwa wale weusi wanapata rangi flani hivi ya chocolate
🩸Ina moisturize ngozi na kuiacha ikiwa soft
🩸Serum unaweza kuichanganya na lotion au ukaitumia yenyewe,
🩸Inaondoa weusi na takataka zote mwilini
🩸Inasaidia ngozi zilizofubaa na kuungua na cream
🩸Ni nzuri kwenye kutoa dark spots
🩸Haichubui wala haileti sugu
Lotion - 60,000=
Serum - 35,000/=
Tunapatikana Tabata Relini
WhatsApp > 0673 373831
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam