Nuru Bee Product
Bee scientist,
Managing director of NuruBeeProduct,
Trainings| Teamplayer.
Behind honey harvest there is a hidden secret.
Do you want to explore more hit my DM
Ubora wa Kifalme bei ya kizawa
22/05/2026
Bees in their natural site
Acha chakula chako kiwe dawa yako, na mazao ya nyuki yawe mwanga wa afya yako.
Mwenge mpakani ni chimbo la mazao halisi na asilia ya Nyuki Wakubwa na Wadogo.
● Propolis (Gundi ya Nyuki) hutibu Meno na Vidonda vya tumbo.
Pia husaidia kuboresha na kutibu kisukari.
● Vumbi la Nyuki (Bee Pollen) ni nguvu asilia
Kuelekea Kilele cha Siku ya Nyuki Duniani mkoani Tabora.
Elegantly value product start with Elegant equipment.
Secret behind the bee venom
05/05/2026
HABARI NJEMA! Nuru Bee Product Inakuletea BEE POLLEN Rasmi Sokoni 🎉
Leo ni siku ya kipekee kwa wapenzi wote wa bidhaa za asili!
Tunayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi rasmi wa bidhaa yetu mpya: Bee Pollen Granules
Baada ya utafiti wa kina na maandalizi ya hali ya juu, Nuru Bee Product tumefanikiwa kuleta "Elixir of Longevity" (Chemchemi ya Maisha Marefu) kiganjani mwako. Bee Pollen yetu imepakiwa katika mazingira ya usafi wa hali ya juu hapa Dar es Salaam, ikiwa na lengo la kumpa kila Mtanzania fursa ya kufurahia virutubisho bora vya asili.
Karibuni tujumuike katika safari hii ya afya!
Tunaanza kupokea oda kuanzia leo. Kuwa mmoja wa watu wa kwanza kufurahia mabadiliko ya afya kupitia bidhaa hii ya kipekee.
Tunapatikana Mwenge mpakani Dsm
Ubora wa Kifalme, Bei ya Kizawa
0767650968
Colony Division wasn't easier
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam