FURSA ZA AJIRA
kurasa hii inahusika na utoji wa AJIRA kwa naohitaji kuanzia MIAKA 18 Hadi MIAKA 50.
07/03/2025
KAMPUNI ya Eternal international inapenda kuwatangazia watanzania wote wanaume na wanawake nafasi zakazi.
Kampuni hii imetoa nafasi za kazi 50,Ili watanzania waweze kujikwamua kiuchumi
Sifa za muombaji
-Awe na miaka 18 Hadi 45
-Awe MTANZANIA
-Awe mkazi wa dar es salaam
-Awe anajua kiswahili fasaha
-Awe anajua kusoma na kuandikia
-Awe na simu kubwa(smartphone)
-Awe na namba yanida
Tupo kigogo round about,kwa maelezo zaidi tupigie namba/what's up namba 0759894242.
KAMPUNI YA GCATE ETERNAL INTERNATIONAL Inapenda kuwatangazia watanzania wote wanao sumbuka na AJIRA waje wajipatie AJIRA na kuweza kujikwamua kiuchumi
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Address
Dar Es Salaam