jalihealthcare
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from jalihealthcare, Health/Beauty, Dar es Salaam.
20/05/2025
🤷♂️ *TOFAUTI YA PID, FANGASI NA UTI*
📌Haya ni Magonjwa yanayosumbua sana Mfumo wa Uzazi wa mwanamke... Yana fanana baadhi ya dalili lakini ni tofauti kabisa
📌Kinachotofautisha PID Na mammbukizi mengine ni Kwamba PID ni maambukizi yaliyofika kwenye KIZAZI
📌UTI ni maambukizi ya Bacteria(E.Coli). Hawa wanakaa kwenye Kibofu wasipotibiwa huwa wanapandisha hadi kwenye Figo na kupelekea UTI SUGU
📌 Hapa hata utumie dawa za pharmacy aina 500 huwezi pona.. Ila utakuwa unatuliza tu maumivu😭
🧏 *Fungus wanakaa kwenye kuta Za Uke. Na wanaweza kufika kwenye Kizazi wakasababisha PID Pia.*
📌PID Anaweza kupata mtu yoyote yule hata awe Bikra😃( mara nyingi kutokana na Fungus)
Ukiachilia fungus, Kuna Maambukizi Mengine /Magonjwa ya zinaa yanashambulia kizazi na kusababisha PID.
🧏Makao makuu ya PID ni Kwenye Kizazi
Ili usipate PID
1️⃣ Usitoe Mimba
2️⃣Tibu Maambukizi yoyote ukeni mapema
3️⃣Punguza matumizi ya sukari
4️⃣Acha kushiriki s*x na kila mwanaume.
📌Moja ya Sababu kubwa za uvimbe, Ukavu ukeni, maumivu wakati au baada ya tendo la ndoa, Kutokwa damu baada ya Tendo, ugumba na mirija kuziba ni huyu mdudu anaitwa PID
🧏 *PID kwa kiasi kikubwa ni chanzo cha yote hapo juu👆👆*
😭PID haiponi kwa Dawa za kuingiza ukeni❌
🧏 Hizo dawa zinaficha dalili za PID NA sio kutibu PID
👉DAWA zipo Nyingi madukani ila ukitaka kupona moja kwa moja na kutibu madhara yaliyosababishwa na PID Hakikisha unawasiliana na Mimi nikupatie Dozi itakayokuponya moja kwa moja
🥰Dr Ilakoze nina dawa nzuri za asili zenye uwezo mkubwa wa kuondoa changamoto mbalimbali.
Wasiliana NAMI sasa.
📲Unaweza kupiga simu ofisini ukazungumza namimi moja kwa moja k**a unatatizo linakusumbua nikakupa USHAURI au MATIBABU inategemea na tatizo lako k**a litahitaji ushaur ntakupa ushaur k**a litahitaji tiba ntakupatia matibabu yake kulingana na ukubwa wa tatizo lako..
Asili huponya
12/05/2025
Tiba ya kisukari na BP ipo. Nitafute Wa.me/255754938941
Nafasi ya kazi ya Mauzo,Kwa ajili ya watu wa D'Salaam tu.Mshahara Shs.350000/-kwa Mwezi.ili kupata nafasi hii tuma ujumbe mfupi ukiambatanisha Majina yako Matatu kwenda Na.0754938941,Usaili utafanyika tarehe 13/05/2025 saa Nne Asubuhi.
Nafasi ya kazi ya Mauzo,Kwa ajili ya watu wa D'Salaam tu.Mshahara Shs.350000/-kwa Mwezi.ili kupata nafasi hii tuma ujumbe mfupi ukiambatanisha Majina yako Matatu kwenda Na.0655228803,Usaili utafanyika tarehe 06/05/2025 saa Nne Asubuhi.
Nafasi ya kazi ya Mauzo,Kwa ajili ya watu wa D'Salaam tu.Mshahara Shs.350000/-kwa Mwezi.ili kupata nafasi hii tuma ujumbe mfupi ukiambatanisha Majina yako Matatu kwenda Na.0754938941,Usaili utafanyika tarehe 06/05/2025 saa Nne Asubuhi.
30/04/2025
UGONJWA WA KISUKARI
👉Ugonjwa kisukari au kitaalamu tunaita (diabete mellitus) ni tatizo linalosababishwa na ukosefu wa insulin ambayo hutoka katika kongosho
💫Kuna aina mbili za ugonjwa wa sukari
1️⃣ Kisukari type 1
2️⃣Kisukari type 2
📌 KISUKARI TYPE 1
👉 hii ni aina ya kisukari ambayo kitaalamu tunaiita JUVENILE DIABETES ambayo mara nyingi inawapata watoto wadogo mara nyingi ugonjwa huu huwa wa inheritance yani ni moja ya Magonjwa ya kurithi ugonjwa huu husababishwa pia na kuharibiwa kwa seli za kongosho hivyo kushindwa kutoa insulin ya kutosha
💫
DALILI ZA KISUKARI TYPE1
👉 Kuhisi kiu sana
👉 Mdomo kuwa mkavu sana
👉 Matatizo ya ngozi na njia za mkojo
👉 Kiungulia na kichefu chefu kikali
👉 Kukojoa mara kwa mara
👉 Kuhisi njaa kila wakati
👉 Mwili kukosa nguvu
👉 Jasho sana hasa nyakati za usiku
👉 Kushindwa kujiamini
2️⃣ DIABETES TYPE 2
💫hii ni aina ya pili ya ugonjwa wa kisukari ambayo huwapata watu wazima umri kuanzia miaka 45 plus hapa inaeeezekana insulin ipo ila haifanyi kazi kabisaa au hufanya kazi kwa kiasi kidog sana hivyo kushindwa kupambana na sukari
💫SABABU MBADALA ZINAZOSABABISHA UGONJWA WA SUKARI
↘️Ulevi hasa wa pombe kali
↘️Uvutaji wa sigara
↘️Matumizi ya madawa makali hasa antibiotic
↘️Ulaji mbovu hasa mafuta mengi na vyakula vya kiwandani vyenye kemikali
⚠️ MATATIZO MENGINE YANAYOSABABISHWA NA SUKARI
💫Magonjwa ya moyo
💫Kiharusi
💫Mishipa ya fahamu kushindwa kufanya kazi vzr
💫Figo kufeli n.k.
SULUISHO
Tunazo bidhaa za Asili (Virutubisho lishe) maususi zenye uwezo wa kubalance kiwango Cha sukari kwenye damu na kurekebisha kongosho
Unaweza kutupigia Kwa ushauri zaidi na tiba
wa.me/255754938941
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
255
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when jalihealthcare posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.