Anna.nauzazi

Anna.nauzazi

Share

🌸 Madam Anna | Afya ya Mwanamke
💗 Elimu & ushauri kuhusu afya ya uzazi
🌿 Wellness & Natural Supplements
📲 0615 227 579 | WhatsApp
🤝 Karibu, afya yako ni muhimu

13/06/2026

Waooo asante sana zai kiukweli nimefurahi kuona umejifungua salama na mtoto yuko salama. Mungu azidi kumkuza akue vema dear

13/06/2026

*NINI CHANZO CHA UKE KUWA MKAVU?*

Uke mkavu; ni tatizo ambalo husababishwa na upungufu wa homoni au kutokua na uwiano wa homoni ya estrogen ambayo upelekea misuli ya uke kusinyaa na kukosa vilainishi.

Kwa kawaida uke unatakiwa kuwa na Ute wa wastani ambao hufanya uke kubana kuleta joto na Raha ya tendo.
Ute huo ukizidi Sana au kua pungufu Sana nalo ni tatizo.

*VISABABISHI VYA UKE MKAVU.*
-Utumiaji mafuta yenye kemikali (cosmetics)
-Magonjwa ya zinaa na fangasi
-Matumizi ya sabuni za antibiotics kwa kuoshea uke
-Upungufu wa homoni
-Uoga na wasiwasi
Uchafu wa muda mrefu kutoka ukeni

*DALILI ZA UKE MKAVU*
-Maumivu wakati wa tendo la ndoa
-Kupungua hamu ya tendo la ndoa
-Kua na ngozi kavu
-Maumivu ya mifupa na viungo
-Msongo wa mawazo
-Mzunguko wa hedhi Kubadilika badilika
-Kutokufurahia tendo la ndoa kutokana na Maumivu.

13/06/2026

Watu wa mikoani dervery zinaendelea

13/06/2026

Hormone imbalance (kutokuwiana kwa homoni) ni hali ambapo mwili una homoni nyingi sana au chache sana kuliko kiwango cha kawaida.

Chanzo
1.Msongo wa mawazo (stress)
2.Lishe duni
3.Magonjwa ya tezi (thyroid)
4.Kisukari
4.Matatizo ya ovari kwa wanawake (k**a Polycystic O***y Syndrome)
5.Ujauzito au kukoma hedhi
6.Matumizi ya baadhi ya dawa.

Dalili zake
1.Uchovu wa mara kwa mara
2.Kuongezeka au kupungua uzito bila sababu
3.Mabadiliko ya hisia (hasira, huzuni, wasiwasi)
4.Chunusi au mabadiliko ya ngozi
5.Nywele kupungua au kuongezeka sehemu zisizo za kawaida
6.Hedhi zisizo za kawaida kwa wanawake.

Madhara
1.Ugumba au matatizo ya uzazi
2.Kisukari
Shinikizo la damu
3.Matatizo ya mifupa
4.Kuathiri afya ya akili na ubora wa maisha
Kwa kifupi:
Hormone imbalance hutokea homoni zinapokuwa nyingi au chache kupita kawaida, na inaweza kusababisha matatizo mbalimbali ya afya ikiwa haitatibiwa.

Kws ushauri zaidi comment naitaji
0615227579

13/06/2026

⚠️P.I.D 👉Ni Maambukizi ya (BACTERIA ) kwenye via Vya Uzazi Kwa mwanamke.

SABABU ZINAPELEKEA KUPATA (P.I.D)⚠️👇👇

1️⃣ Kupitia ngono uzembe.

2️⃣Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.

3️⃣UTI Sugu.

4️⃣ FANGASI Sugu.

5️⃣Kutoka mimba.

6️⃣kuweka vitu Ukeni ili kufanya uke ubane kumvutie mpenzi wako

7️⃣ Kutumia dawa Kwa njia ya kuzuia MIMBA.

8️⃣kupitia ugonjwa wa zinaa hususani kaswende kisonono.

9️⃣ Kupitia kunyonywa Ukeni na mwezawako.

🔟Kuvaa pedi mda mrefu bila kubadilisha hiyo pia ni sababu.

12/06/2026

💚 WANAWAKE WENGI WAMECHAGUA KURUDI CONFIDENCE YAO TENA! 💚
K**a unajisikia: 🌸 discomfort ya mara kwa mara
🌸 harufu isiyo ya kawaida
🌸 miwasho au ukavu
🌸 au unahitaji kujihisi safi na confident zaidi
Derox Feminine Wellness Support imekuwa chaguo la wanawake wengi kwenye kusaidia usafi wa ndani na kujihisi fresh kila siku.
✨ Wanawake wengi wameripoti kujihisi vizuri zaidi baada ya kuitumia k**a sehemu ya self-care routine yao ya kila siku.
⏳ OFa ya leo tu — stock inamalizika haraka!
📩 Inbox sasa upate maelezo + matumizi sahihi
💚 Jipende. Jihudumie. Anza leo.
0743150108

17/04/2026

🚨 WANAWAKE WENGI HAWAJUI HILI…
Maumivu ya hedhi, UTI au mzunguko mbovu si kawaida ❌
Ni ishara kuwa mwili wako unahitaji msaada HARAKA!
💬 Wanawake wengi tayari wameanza kuona mabadiliko makubwa… wewe unasubiri nini?
⏳ Nafasi ni chache – ushauri unapatikana kwa muda huu tu!
📲 WhatsApp sasa: 0743150108
🔥 Chukua hatua leo kabla hali haijawa mbaya!

26/03/2026

Wasiliana nasi sasa upate suluhisho la kudumu 0743150108

26/03/2026

🔥 UNAPATA MAUMIVU MAKALI CHINI YA KITOVU WAKATI WA HEDHI? USIPUUZE! 🔥
Wanawake wengi hupata maumivu makali wakati wa hedhi… lakini ukweli ni kwamba sio kawaida kwa maumivu kuwa makali kupita kiasi!
❗ CHANZO CHA MAUMIVU HAYA NI NINI? ✔️ Maambukizi kwenye mfumo wa uzazi
✔️ Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (fibroids)
✔️ Homoni kutokuwa sawa mwilini
✔️ Mirija ya uzazi kuziba
✔️ Ugonjwa wa Endometriosis
✔️ Maambukizi ya mara kwa mara (PID)
⚠️ MADHARA MAKUBWA UKIPUUZA: ❌ Kushindwa kupata ujauzito (utasa)
❌ Mimba kutungwa nje ya mfuko wa uzazi
❌ Maumivu sugu ya tumbo la chini
❌ Kuvurugika kwa mzunguko wa hedhi
❌ Saratani ya kizazi
❌ Mfumo wa uzazi kujaa maji (Hydrosalpinx)
💡 USISUBIRI MPAKA SHIDA IKUE! Pata ushauri sahihi na suluhisho mapema ili kulinda afya yako ya uzazi.
📞 Wasiliana nami sasa: 0743150108
👩‍⚕️ Madam Anna – Afya na Uzazi

25/03/2026

🚨 K**a unapitia changamoto ya uzazi… tafadhali soma hii kwanza

Kuna wanawake wengi wanalia kimya kimya 😔
👉 Hawapati ujauzito
👉 Wanapata maumivu makali ya hedhi
👉 Wanahangaika na uchafu na UTI sugu

Lakini ukweli ni huu… SI MWISHO WA TUMAINI LAKO ❤️

✨ Tumesaidia wanawake wengi kurejesha afya yao na kupata matokeo
Na sasa ni nafasi yako pia

⚠️ Usingoje mpaka hali iwe mbaya zaidi

📲 Bonyeza WhatsApp sasa: 0743150108

🔥 Chukua hatua leo, ushuhudie mabadiliko kesho!

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anna.nauzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.