afya na uremb

afya na uremb

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from afya na uremb, Health/Beauty, sinza Madukani, Dar es Salaam.

20/07/2026

🛑 ACHA KUHARIBU NGOZI YAKO!
​Kuchubua ngozi hakukupi urembo, bali kunaharibu ulinzi wa asili wa ngozi na kuacha madoa meusi na ngozi kuungua.
​Urembo wa kweli ni ngozi yenye afya, unyevu, na inayong'aa (glowing) bila kemikali kali! ✨
​🌿 RUDISHA AFYA YA NGOZI YAKO LEO!
Pata bidhaa salama kutoka kwa Cathy_essential zitakazosaidia kuondoa madoa, kurudisha afya, na kulinda ngozi yako.
​📲 DM au WhatsApp [Namba Yako] kupata ushauri wa bure na bidhaa sahihi kwako!
ya ngozi

20/07/2026

Unasumbuliwa na vipele au mzio kwenye ngozi k**a huu? Usihangaike tena! Pata suluhisho la haraka na la uhakika linalorudisha muonekano wako wa asili. DM au piga [0692019998] kupata yako leo! ✨ Karibuni Cathy_essential leo upate suluhisho

20/07/2026

Je, ulishawahi kupata changamoto ya ngozi kuwa nyeusi kuliko mwanzo baada ya kutumia cream fulani? 💔
​Hali hii inaitwa Exogenous Ochronosis, na mara nyingi inasababishwa na matumizi ya Hydroquinone iliyomo kwenye vichubuzi vikali.
​Badala ya kuharibu ngozi yako na kemikali kali, badilisha routine yako leo! Bidhaa zetu ni salama, hazina vichubuzi vikali, na zinasaidia kurudisha muonekano wako wa asili kwa afya na amani. ✨
​💬 DM kwa ushauri wa bure wa bidhaa zitakazofaa aina ya ngozi yako! Cathy_essential

20/07/2026

AFYA YA NGOZI KWANZA! 🛑
​Kutumia bidhaa za kuchubua (skin bleaching) zenye steroids husababisha ngozi kuwa nyembamba mno.
​Madhara yake:
✅️​Ngozi kuwa nyepesi na kuonekana wekundu
✅️​Michubuko na makovu ya haraka
✅️​Kupata maambukizi (infections) kwa urahisi
​Tunza na penda ngozi yako ya asili kwa bidhaa salama. ❤️
​📲 Tutumie DM / WhatsApp kupitia....0692019998 ushauri wa ngozi salama!

20/07/2026

Achana na mahangaiko ayaa 😂😂😂😂 karibu Cathy_essential upate utulivu..

20/07/2026

Pumu ya ngozi inatibika kwa kutumia virutubisho bila kutumia biambata sumu..
Kaeibu Cathy_essential uweze kupata suluhisho la kudumu
Call/watsaap
0692019998
ya ngozi

30/06/2026

Kwa changamoto yeyeto ya ngozi wasiliana nasi
#0692019998

30/06/2026

Maradhi ya ngozi yamekua mengi sana kutokana
na mtindo wa maisha...Tutafute upate suhulisho la kudumu

30/06/2026

*"Wanawake wengi wanadhani kuwa mweupe
ndiyo kuwa na ngozi nzuri -- lakini huo ni uongo mkubwa wa
karne!"*
Ngozi nzuri ni ile:
lliyosafi
Isiyo na chunusi
Yenye unyevu na mng'ao wa asili
Inayojitunzwa kwa upendo, si kemikali
*Rangi ya ngozi haipimi uzuri.*
Afya ya ngozi yako ni bora kuliko kuifuta ili ufanane na wengine
*Penda rangi yako, itunze, itaangaza yenyewe!*

25/06/2026

Kwa suuhishu la kudumu wasiliana nasi ...0692019998

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Sinza Madukani
Dar Es Salaam