Groly na afya ya uzazi
uzazi kwa wanawake na wanaume
PID
FUNGUS
HORMONE IMBALANCE
suluhisho la kudumu
0670 346 611
04/03/2026
Piga 0764 280 652
Kwa matibabu zaidi na kupata suluhisho
16/02/2026
11/02/2026
Yawezekana Umeteseka Sana na Changamoto ya PID sugu,FUNGUS na UTI sugu ila Haujapona , Watu wengi hutibu matokeo ya tatizo na sio chanzo cha tatizo
Nimekuletea Suluhisho la Kudumu kwa 25,000/= tu , Ofa hii mwisho ni leo... Nitafute WhatsApp 0764280652 au bonyeza link kuja WhatsApp
11/02/2026
Groly_na_afya_ya_uzazi
🔹 Sababu kwa Mwanamke
Kutopata hedhi kwa mpangilio (Ovulation problems)
PCOS (Polycystic O***y Syndrome)
Hormone imbalance
Uzito kupita kiasi au kuwa mwembamba sana
Mirija ya uzazi kuziba (Blocked fallopian tubes)
PID (Pelvic Inflammatory Disease)
Maambukizi ya zinaa (k**a chlamydia, gonorrhea)
Historia ya kutoa mimba au upasuaji wa tumbo
Uvimbe kwenye mfuko wa uzazi (Fibroids)
Huzuia yai kujishikiza vizuri
EndometriosisUvimbe kwenye mfuko wa uzazi (Fibroids)
Huzuia yai kujishikiza vizuri
Endometriosis
Maumivu makali ya hedhi na matatizo ya kushika mimba
Umri mkubwa (hasa zaidi ya miaka 35)
Idadi na ubora wa mayai hupungua
Maambukizi ya mara kwa mara ukeni au shingoni mwa kizazi
Piga au WhatsApp 0670 346 611
11/02/2026
Groly_na_afya_ya_uzazi
Madhara ya fangasi sehemu za siri
1️⃣ Miwasho na kuchoma
Kuhisi kuwasha ndani na nje ya uke au korodani
Hali hii inaweza kuathiri tendo la ndoa
2️⃣ Uchafu usio wa kawaida
Mke: mkojo wa rangi nyeupe au k**a maziwa
Mume: ngozi ya korodani inaweza kuwa na rangi nyeupe au nyonya
3️⃣ Harufu isiyo ya kawaida
Fungus hutoa harufu ya chachu, ambayo inaweza kuwa aibu
4️⃣ Maumivu wakati wa tendo la ndoa
Kuchoma au maumivu wakati wa pe*******on
Kupunguza furaha ya kimapenzi
5️⃣ Kurudia mara kwa mara (recurrent infection)
Kutibu mara moja bila kinga au mpangilio sahihi huifanya irudi
6️⃣ Kuvuruga afya ya uzazi (kwa wanawake)
Fungus sugu inaweza kuongeza hatari ya PID ikiwa haitatibiwa vizuri
Inaweza kuathiri mzunguko wa hedhi
7️⃣ Kukosa kujiamini & stress
Miwasho, harufu, uchafu huchangia stress na aibu
Huathiri mahusiano ya kimapenzi
Piga au WhatsApp 0670 346 611
11/02/2026
Groly_na_afya_ya_uzazi
Piga au WhatsApp 0670 346 611
11/02/2026
Groly_na_afya_ya_uzazi
Sababu za uke kunuka kisamaki-samaki
1️⃣ Bacterial Vaginosis (BV)
Hii ndiyo sababu namba moja
Hutokea pale bakteria wazuri (lactobacilli) wanapopungua
Harufu huwa kali zaidi baada ya ngono au wakati wa hedhi
2️⃣ Ngono bila kinga (condom)
Shahawa hubadilisha pH ya uke
Huchochea kukua kwa bakteria wabaya
3️⃣ Kuosha uke ndani (douching)
Huharibu uwiano wa bakteria wazuri
Husababisha BV na harufu mbaya
4️⃣ Kuvaa nguo za ndani zisizopitisha hewa (nylon, tight)
Huongeza unyevu → bakteria wabaya huzaliana
5️⃣ Mabadiliko ya homoni
Hedhi
Ujauzito
Hormone imbalance
6️⃣ UTI au PID (wakati mwingine)
Maambukizi yakipanda au kuathiri mazingira ya uke
7️⃣ Usafi usio sahihi wa sehemu za siri
Kujisafisha vibaya (hasa kutoka nyuma kwenda mbele)
Piga 0670 346 611 Kupata suluhisho
11/02/2026
Groly_na_afya_ya_uzazi Madhara ya hedhi ya mabonge-mabonge
1️⃣ Kupoteza damu nyingi (anemia)
Uchovu, kizunguzungu, nguvu za chini
Kwenye muda mrefu inaweza kusababisha upungufu mkubwa wa damu
2️⃣ Maumivu makali ya tumbo (cramps)
Mabonge makali huashiria uterine contractions yenye nguvu
Hali hii huathiri shughuli za kila siku
3️⃣ Kukosa usingizi mzuri
Uchovu unaotokana na kupoteza damu huathiri usingizi
4️⃣ Kukosa kujiamini au stress
Hedhi yenye mabonge huleta wasiwasi na hofu ya kutarajiwa siku ya hedhi
5️⃣ Kuwachemsha mahusiano ya kimapenzi
Maumivu, mood swings, na uchovu huathiri maisha ya kimapenzi
6️⃣ Dalili za kiafya
Inaweza kuashiria:
Hormone imbalance
Fibroids (vimelea kwenye kizazi)
PID au maambukizi mengine
PCOS
Piga au WhatsApp 0670 346 611
11/02/2026
Groly_na_afya_ya_uzazi
Sababu za uke kuwa mkavu
1️⃣ Mabadiliko ya homoni
Kipindi cha kujifungua
Ujauzito
Menopause (kupungua kwa estrogen)
Hormone imbalance kwa ujumla
2️⃣ Kutokutosha msisimko wa mapenzi
Lubrication ya uke hutegemea msisimko wa kimaumbile
Kuchelewa kuanza tendo au mwendelezo mdogo wa foreplay
3️⃣ Matumizi ya baadhi ya dawa
Antidepressants
Antihistamines
Dawa za kupunguza homoni
4️⃣ Stress na uchovu
Kukosa usingizi au mawazo mengi huathiri lubrication ya uke
5️⃣ Maambukizi ya uke
Fangasi, UTI, PID, BV huweza kusababisha ukavu wa uke
6️⃣ Kupoteza maji mwilini
Kutokunywa maji vya kutosha
Kufanya mazoezi makali bila kuliwa maji
7️⃣ Kukosa mazoezi ya misuli ya pelvic floor
Misuli dhaifu inaweza kupunguza msisimko na lubrication
8️⃣ Kukosa lishe bora
Lishe duni, upungufu wa vitamini (C, E) na fatty acids huzuia lubrication asili
Piga au WhatsApp 0670 346 611
11/02/2026
Sababu za uke kijamba jamba
1️⃣ Kuingia kwa hewa ukeni
Hutokea sana ukiinama, unafanya mazoezi, au wakati wa mapenzi
Hewa ikiingia na kutoka husababisha sauti (si gesi k**a ya tumbo)
2️⃣ Misuli ya uke kuwa dhaifu (pelvic floor weakness)
Baada ya kujifungua
Kujifungua mara nyingi
Umri kuongezeka
3️⃣ Mapenzi ya nguvu au kubadilisha mikao mara kwa mara
Husukuma hewa kuingia ndani ya uke
4️⃣ Kupanuka kwa uke baada ya kujifungua
Hasa k**a kulikuwa na mtoto mkubwa au kujifungua kwa shida
5️⃣ Kukosa kufanya mazoezi ya misuli ya uke (Kegel)
Misuli isipofanyishwa kazi hudhoofika
6️⃣ Uzito mkubwa (obesity)
Huongeza presha kwenye misuli ya nyonga
Piga 0670 346 611 Kupata suluhisho
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Dar Es Salaam
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Groly na afya ya uzazi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.