Yesu yu karibu anakuja

Yesu yu karibu anakuja

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Yesu yu karibu anakuja, Health/Beauty, via Chuo cha Mipango (IRDP), .

Photos from Yesu yu karibu anakuja 's post 26/06/2026

NITAKWENDA NIKIMSUBILI YESU.

10/01/2026

SILAHA HUWA UNATOA WAPI?
❓❓❓

Waefeso 6:10-18
10. Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake... (Kumwendea Mungu na kumweleza lililo hitaji la moyo wako kwa ukamilifu, kwa imani πŸ‘‰Hatimaye utazidi kuwa hodari katika VITA). Maanayake yeye MUNGU atakupa sila za kivita, atakupa ujasiri wa kuipiga vita
Swali??.... Ni silaha gani hizo.....?

11. Vaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kuzipinga hila za Shetani.
Tunaagizwa kuzivaa silaha hizi za kivita za Mungu tupate kumshinda... πŸ‘‰Shetani.... Silaha gani hizooπŸ‘‰β“

12. Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.
(Hakika hatuwezi kushinda hila za mwovu bila kuzivaa silaha za KRISTO YESU yeye aliye kwisha kumshinda nae nifulaha yake kuona wanadamu tunashinda {rusifa} kwa silaha yake.

13. Kwa sababu hiyo twaeni silaha zote za Mungu, mpate kuweza kushindana siku ya uovu, na mkiisha kuyatimiza yote, kusimama.

πŸ‘‡πŸ™HIZI HAPA SILAHA UNAOPASWA KUZIVAA πŸ™πŸ‘‡

πŸ‘‰ Twaeni ngao ya IMANI. Mpate kuizima mishale yote ya moto ya yule mwovu. E, 16
πŸ‘‰ Tena upokeeni wokovu wake, pamoja upanga wa Roho Mtakatifu utokao kawa Mungu, ambao ni NENO la Mungu. E, 17
πŸ‘‰Vaeni sala zote na maombi mkisali kila wakati kwa imani na Roho, mkikesha na kudumu katika kuwaombea watu wote. E, 18

TUENDELEE KUBALIKIWA KATIKA SIKU 10 HIZI ZA MAOMBI.
Mungu anatenda HAKIKA.
πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™MUNGU AWABARIKI πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

06/01/2026

Yesu Kristo yu mlangoni anayasubili maombi yako ya toba ya msamaha hujachelewa bado πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™tarehe 07/01/2026 Anayahitaji maombi yako ili alejee katika chumba cha PATAKATIFU PA PATAKATIFU KUYAOMBEA YAKUBALIKE Machoni mwa baba yake yaani MUNGU pamoja nasiπŸ™πŸ™πŸ™

06/01/2026

Watu wote mna tunawakaribishaπŸ™πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Yesu yu karibu anakuja posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.