Toka Kistaa Hair And Beauty
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Toka Kistaa Hair And Beauty, Health/Beauty, Kagongwa, Kahama.
Happy new year
01/01/2023
Happy new year.
17/12/2022
JIFUNZE NJIA YA KUSAFISHA USO ULIO FUBAA ?!!!?
NGARISHA uso wako ulio fubaa na kuondoa🔥💥 chunusi usoni na makovu ya chunusi(Baby face😇)
MAHITAJI ;. * unga wa mlonge kijiko kimoja ;* asali vijiko viwili :*mdalisini wa unga kijiko kimoja :*maziwa fresh kijiko kimoja kwanza ~ changanya asali unga wa mlonge pamoja. Na mdalisi.wa unga Kisha jisafishe uso vizuri kwa pamamba ambyo iyo pamba uanichovya kweny maziwa jisafishe uso wako vizur kabisa taratibu kam dk3_5 💃 Then chukuwa mchanganyiko wako wa asali mlonge pamoja na mdalasini upake usoni > kaa na mchanganyiko wako dk30 Kisha nawa kwa maji masafi ya vuguvugu Kisha paka mafuta yako ambay n mazur hayan chemical yyt👌🏼 > inafaa kwa ngozi zote iy scrub na unaweza ukafanya kwa siku Mara moja na kwa wiki Mara 4😘 > NB ; utaona kauso kako kanukua softi na cheny kuteleza kam mtoto na pia inatunza ngozi na pia inaondoa harara uson k**a Tak👌🏼 mwili pia unga mlonge inaptikana kweny maduka ya asili kwa bei nafuu kabisa🙏🌹
16/12/2022
Nywele asili
UShapewa Hela ya kusuka Christmas
Au
Utabana Nywele k**a jumong?
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kahama