haƙiBeautyCosmetics

haƙiBeautyCosmetics

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from haƙiBeautyCosmetics, Health/Beauty, Wauzaji wa Vipodozi original U.S. A, DRC, Uganda , Tanzania tunatuma mzigo popote Tz🇹🇿🛵🚚🚗🚲 Mtaa wa NMB bank mkabara na ofisi za T. RA, Kibiti.

07/08/2026

Unataka ngozi yenye mwonekano wa kung’aa, laini na yenye kuvutia? 💕
Jaribu Rapha Glow Potion 4×1 Retinol & Collagen 🌸

💎 Husaidia kutunza mwonekano wa ngozi
✨ Husaidia kupunguza mwonekano wa dark spots
🌸 Husaidia ngozi kuonekana fresh na yenye glow
💧 Kwa aina zote za ngozi

04/08/2026
30/07/2026

Papaya Extract Body Oil – Hulainisha na kuipa ngozi mng’ao.
💖 Seoul 1988 Retinal Booster – Husaidia kuboresha muonekano wa ngozi.
✨ Retinal Shot Tightening Booster – Husaidia kuifanya ngozi ionekane imara na yenye mwonekano mzuri.

💯 Bidhaa bora kwa matumizi ya kila siku.
📍 Tunapatikana Kibiti – Pwani
📲 Agiza sasa kupitia WhatsApp: 0718740434

Usisubiri ngozi ibadilike yenyewe… Anza kuitunza leo! 🌸

15/07/2026

Husaidia kung’arisha ngozi ya kwapa na kuifanya ionekane yenye mwonekano mzuri. * Hupunguza mwonekano wa weusi kwenye kwapa unaosababishwa na kunyoa, msuguano au matumizi ya deodorant. * Hulainisha na kuifanya ngozi ya kwapa iwe nyororo. * Husaidia kuongeza unyevu kwenye ngozi na kuizuia kukauka. * Husaidia kufanya ngozi ya kwapa ionekane yenye rangi iliyo sawa. * Hutoa harufu nzuri na kuifanya ngozi ijisikie safi. Matumiza nifuate inbox

10/07/2026

Uv ukwaju body cream flavor ya tango hiii kwa wale wenye low budget afu hawataki ku brighten ngozi na wana ngozi ya mafuta

29/06/2026

Husaidia kuifanya ngozi ionekane yenye mwanga na kung’aa.
* Husaidia kupunguza muonekano wa madoa meusi na alama za chunusi.
* Husaidia kufanya rangi ya ngozi ionekane sawa.
* Husaidia kulainisha na kuipa ngozi unyevunyevu.
* Husaidia kufanya ngozi ionekane nyororo na yenye afya

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kibiti?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address

Wauzaji Wa Vipodozi Original U.S. A, DRC, Uganda , Tanzania Tunatuma Mzigo Popote Tz🇹🇿🛵🚚🚗🚲 Mtaa Wa NMB Bank Mkabara Na Ofisi Za T. RA
Kibiti
WASAPNO0718740434CALL0788243148