Afya bora nutrition

Afya bora nutrition

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya bora nutrition, Health/Beauty, Mikwambe, Kigamboni.

Our products are very good for human use, also our medicines are made from plants and fruits where they are going to treat diseases with good efficiency, so I invite you to serve

19/11/2022

Expower Man Coffee

Hii ni kahawa iliyotengenezwa Kwa mchanganyiko Wa vitu Zaidi ya vinne yani;

1. Fresh maca
2. Ginseng powder
3. Tongkat ali
4. Epimedium
Viambata hivi vimetoka nchi za
KOREA,CHINA,USA,INDIA,PERU

Kahawa hii haina CAFFEINE,imetolewa Kwa kutumia teknolojia bora ili kuwafaa watu Wa aina zote.

Kazi muhimu za Hii Kahawa;

1. Kuimarisha misuli ya uume kuwa bora zaidi na Nguvu mara dufu wakati Wa tendo.

2. Kuupa mwili Nguvu zaidi

3. Kusaidia kurudia tendo la ndoa mara nyingi zaidi yani ukimaliza mshindo Wa kwanza unauwezo Wa kuendelea zaidi.

5. Kumpa mtu hamu ya tendo la ndoa hata k**a iliisha kabisa.

6. Kuondoa uchovu na stress,kuzuia hatari ya kupata Magonjwa ya moyo.

7. Kuilinda na kuipa afya tezi ya mwanaume

9. Kusafisha mishipa ya damu

10. Kuongeza ubora Wa mbegu za mwanaume na kuzifanya ziwe na kasi zaidi
11. Haina kemikali ni ya asili kabida 100%

EPUKA AIBU YA KUFIKA HARAKA KILELENI.
Kwa mawasiliano zaidi call/whatsapp 0652940286

21/09/2022

Soma hii makala ili ulielewe kwanza tatizo hili na hapo mwisho kuna dose yake
👇👇👇
PID(PELVIC INFLAMATORY DISEASE)

Ni Ugonjwa ambao unasumbua sana.. haya ni (Maambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke)
kwa kitaalamu tunaita (Pelvic Inflamatory Diseases) au kwa kifupi (PID)

ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake.
Kwa kawaida maambukizi haya huusisha shingo ya kizazi
(cervix) hali ambayo hujulikana k**a -cervicitis,
nyama ya mfuko wa uzazi (endometrium) ambayo kitaalamu huitwa -endometritis, na mirija ya uzazi kujaa maji au kuziba (fallopian tubes) hali ijulikanayo kitabibu k**a -salpingitis.
☆Mwanamke mwenye tatizo hili hatoweza kushika ujauzito mpaka Atapopata matibabu stahiki na kwa wakati.

SABABU ZA UGONJWA HUU
Pamoja na aina kadhaa za vimelea kuhusishwa na PID, vimelea vya jamii ya (Neisseria Gonorrhoeae* pamoja na Chlamydia trachomatis) ndivyo vinavyoongoza kwa umaarufu zaidi katika kusababisha PID kwa akina mama.

NJIA AMBAZO MWANAMKE ANAWEZA KUAMBUKIZWA PID

Njia hizo ni pamoja na
☆Kufanya ngono isiyo salama bila kinga
☆Maambukizi ya njia ya uzazi hasa kipindi mara baada ya kujifungua (postpartum period)
☆Maambukizi ya njia ya uzazi mara baada ya kutoa mimba (post abortion) au mara baada ya mimba kuharibika (miscarriage)
☆Kutumia vipandikizi vya ndani ya mfuko wa uzazi (IUCD) k**a njia mojawapo ya uzazi wa mpango, na
☆Kuambukizwa kupitia damu iliyo na vimelea vya PID.

DALILI ZA UGONJWA HUU WA PID

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID.
Miongoni mwa dalili hizi ni

1.Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu
2.Kupata maumivu ya mgongo
3.Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri.
Utoko huu huambatana na harufu mbaya muda mwingine
4.Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa
5.Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
6.Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi
Kwa mawasiliano zaidi nicheki kwa no 0652940286

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kigamboni?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address

Mikwambe
Kigamboni
WAZIRI

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Afya bora nutrition posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Kigamboni.