Hadithi TAMUU ZA mahaba
hadithi
*ANGALIA HADI MWISHO
🤸🤸
GUSA LINK HAPO CHINI KUJIUNGA NA GROUP LETU LA NGUO JUMLA MBEYA. 👇
04/07/2026
SEMA HAWA WATU WANAJUA KUDAI😂😂
07/06/2026
Mwalimu ndaroo😂😂
04/06/2026
Ozalima🎧🎼😂
✔️✔️✅
27/05/2026
Ogopa mtu anayekwambia unakosa nini hapa, unahangaika na hizo biashara za kipuuzi za nini.😱💔
Mwanamke, 100% ya jasho lako lina thamani yake, lina heshima yake, na lina matokeo yake kulingana na namna utakavyoamua kuitumia.
Usisahau, hakuna mwanamke mtafutaji anayekosa vita. Njia ya mafanikio haijawahi kuwa laini. Kutakuwa na vikwazo, maneno ya kukatisha tamaa, na watu watakaokubeza. Lakini usishushe silaha chini mpaka kieleweke.
K**a mwanaume wako hakuelewi leo, akiwa na afya na nguvu zake, siku moja akiwa kitandani ataelewa tu. Siku ambazo maisha yatabadilika, ndipo thamani ya jitihada zako itaonekana. Utafika mahali ambapo hata ukikaa kimya, matokeo yako yataongea kwa niaba yako.
Mwanamke Pambana hadi kiwango ambacho pesa ya mwanaume iwe ya ziada kwako na si tegemezi tena, ukipambana Hutalala njaa, Simu yako haitakuwa kero kuomba msaada kwa mwanaume na wanaume wasiku hizi mpaka uipate pesa yake basi lazima chini ya kitovu kufanye kazi kwanza, Pambana Ndugu na marafiki watakuheshimu kwa juhudi zako
Jiamini, simama imara, na kumbuka mafanikio hayaji kwa bahati, yanakuja kwa jasho, subira, na moyo wa kupambana kila siku.
Nikutakie Usiku Mwema.❤️
,😳
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Kyela
123465