afya na watu wazima

afya na watu wazima

Share

TUNAWASAIDIA WATU KUJUA CHANZO CHA MAUMIVU YA VIUNGO NA MIFUPA PAMOJA NA GANZI NA KUPATA MATIBABU

16/09/2026

Ganzi inavyotokea mwilini mwako

16/09/2026

Ganzi ni nini ?
Sikiliza kwa umakini uelewe.

16/09/2026

Endapo ukijua chanzo cha tatizo lako unaweza kutibiwa mara moja na ukasahau kabisa maumivu haya

15/09/2026

Ni muhimu kujua chanzo cha tatizo lako kabla ya dawa ili kuepuka matumizi ya dawa mara kwa mara .

15/09/2026

Usikubali kuanza matumizi ya dawa kabla hujajua chanzo cha tatizo lako ni hatari sana

15/09/2026

Usikubari haya yawe maisha yako karibu tukusaidie

14/09/2026

Ili upone na kuacha kutegemea dawa lazima uwe unetambua tatizo lako chanzo nini ili unapotumia dawa utumie na kumaliza kabisa .

14/09/2026

Unapokuwa na tatizo la ganzi ni muhimu sana kujua kwanini limekutoa yaani chanzo cha tatizo .

13/09/2026

Dawa ni nzuri sana k**a mtu akifuata hatua za kujua chanzo cha tatizo na kujua kipi kinamsumbua

13/09/2026

Usizoee maisha ya ganzi na mateso kupona inawezekana karibu tukusaidie

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mbeya?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Mbeya