Dr. Dionise

Dr. Dionise

Share

Mimi Dr. dionise, mtaalamu wa afya ya uzazi kwa wanawake na wanaume wasiliana nami kupitia 0757898704

06/07/2025

MWANAMKE SOMA HII SMS MPAKA MWISHO BILA KURUKA NI MUHIMU SANA

*UTI (Ugonjwa wa Mkojo)*
UTI ni kifupi cha "Urinary Tract Infection," ambayo ni maambukizi yanayotokea katika mfumo wa mkojo, ikiwa ni pamoja na kibofu cha mkojo, urethra, na mara nyingine figo. Ugonjwa huu unawapata watu wa rika zote zaidi kwa wanawake.

*Chanzo cha UTI*
Chanzo kikuu cha UTI ni bakteria, hasa Escherichia coli (E. coli), ambayo hupatikana katika mfumo wa mmeng'enyo wa chakula. Bakteria hawa wanaweza kuingia kwenye mfumo wa mkojo kupitia urethra na kuanza kuongezeka huku wakiweka madhara .

*Namna ya kujiambukiza*
- Kutumia vyoo vya umma ambavyo havijakidhi viwango vya usafi.
- Kutokunywa maji ya kutosha, ambayo huweza kusababisha mkojo kuwa na viwango vya juu vya bakteria.
- Kutumia vifaa vya uzazi wa mpango k**a vile diafragma.(Kitanzi)
- Kutokuwa na usafi wa kutosha wakati wa kujitakasa, hasa baada ya kujamiiana.
- Kuwa na historia ya UTI katika familia.
- kutumia sabuni zenye kemikali wakati wa kujisafisha
- kuvaa nguo ya ndani ikiwa haijakauka vizuri

*Dalili za mgonjwa mwenye UTI*
- Maumivu au kuchoma wakati wa kukojoa.
- Kukojoa mara kwa mara, hata k**a kibofu hakijajaa.
- Mkojo wenye rangi ya giza au harufu mbaya.
- Maumivu ya tumbo la chini.
- Hali ya kuumwa na kichwa au homa (katika hali mbaya) Mara kwa mara

*Matibabu ya ugonjwa wa UTI*
Matibabu ya UTI mara nyingi yanajumuisha:
- Antibayotiki: naweza kuandika dawa za kuua bakteria waliopobkwenye mfumo wa mkojo
- Kunywa maji mengi ili kusaidia kuondoa bakteria kwenye mfumo wa mkojo.
- Kutumia dawa za kupunguza maumivu k**a ibuprofen au paracetamol.
- Usafi wa mara kwamra sehem za Siri kuzingatiwa
- kuvaa nguo ya ndani aina ya cotton iliosafi na kavu

*Namna ya kuepuka UTI*
- Kunywa maji mengi ili kusaidia kusafisha mfumo wa mkojo.
- Kukojoa mara kwa mara
- kujiosha na maji mengi baada ya kujamiiana.
- Kuwa na usafi wa mwili, hasa sehemu za siri.
- Kuepuka matumizi ya bidhaa za kemikali kwenye sehemu za siri.
- Kula vyakula vyenye asidi k**a vile cranberry, ambavyo vinaweza kusaidia kuzuia ukuaji wa bakteria.
- kuvaa nguo safi na kavu
- kusafisha mazingira yaliohatarishi

*Madhara ya UTI*
- UTI isipotibiwa inaweza kusababisha matatizo makubwa k**a vile maambukizi kwenye figo (pyelonephritis).
- Inaweza kusababisha matatizo ya uzazi kwa wanawake.
- Uwezekano wa kupata UTI mara kwa mara.

*Vyakula vinavyopaswa kuliwa*
- Maji: Kunywa maji mengi kila siku.
- Cranberry: Juisi ya cranberry inaweza kusaidia kuzuia UTI.
- Yoghurt: Ina probiotics ambazo zinaweza kusaidia katika afya ya mfumo wa mkojo.
- Vyakula vyenye vitamini C: K**a machungwa na papai, vinaweza kusaidia kuongeza asidi ya mkojo na kuzuia ukuaji wa bakteria.
- vyakula vyenye vitamin na protein k**a vile mboga za majani, maharage, mayai mchemsho n.k.
Kwanini huponi UTI ingawa umetumia dawa sana ,au inapona na kurudi kila mara

Ukweli usiopingika wanawake wananjia fupi sana ya uzazi hivo hupelekea kuugua mara kwa mara hata hivo ,kadri unavovaa taulo za k**e ndivo unavyofonza normal flora na kuacha eneo la uke kubaki bila ulinzi wowote,na mwishowe inakuwa vyepesi sana kupata maambukizi mapya kila siku.

Suluhisho la kudumu
Ipo tiba inaitwa vaginal care hii utatumia pindi utokapo hedhi ili kurejesha wale bacteria wazuri aaliovyonzwa na taulo la k**e kumbuka upungufu wa normal flora matokeo yake ndo kuugua UTI mara kwa mara ,uchafu ,harufu mbaya ,PID ,ukavu ukeni na nk

Tiba hii ni nzuri Sana

Na habari mbaya ni kwamba vaginal care Sasa Tanzania zimebaki chache hii ni kutokana na uduni wa viambata vinavyoitengeneza tiba hii ,,asili ya viambata hivo ni marekani ,Sasa pamekuwa na uduni ama upatikanaji hivo kuanzia mwezi huu na kuendelea hazitakuwepo Tena mpka tutakapo toa taarifa Tena ,hivo basi k**a unaona ni kitu muhimu agiza Sasa

Haina madhara kabisa
0757898704

06/07/2025

Maana ya PID ni pelvic inflammatory diseases manaake ni maumbukizi katika via vya uzazi au katika shingo kizazi.

*Dalili za PID ni zipi?*

Zipo dalili kadhaa za ugonjwa huu wa PID. Miongoni mwa dalili hizi ni

👉Mwanamke kuhisi maumivu ya tumbo hasa maeneo ya chini ya kitovu

👉Kupata maumivu ya mgongo

👉Mwanamke kupata utoko mchafu sehemu za siri wenye harufu mbaya na miwasho

👉 Utoko huu huambatana na harufu mbaya.

👉Kuhisi maumivu wakati wa kukojoa

👉Kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa ni maumv makali sana na yana umiza sana

👉Kutoka damu bila mpangilio wakati wa hedhi na hedhi kuto eleweka

👉Kupata homa
Wakati fulani kuhisi kichefuchefu na
Pia kutapika

Na PID ndio chanzo kikubwa cha ugumba kwa wanawake kwasabu makovu yake husababisha fibroids yani njia za fallopian tubes kuwa blocked (kuziba) hivyo manii haziwezi kupita.. na PID huwezi kutibu kwa kutumia antibiotic kwasabu ugonjwa huu ni wakuambukizwa kupitia ngono... antibiotic ni sumu ambyo bacteria hubadilika umbo pindi wanapo ona sumu na badae tatizo huanza tena.

Kwa ushauri, Elimu na matibabu wasiliana nami kupitia number 📞0757898704

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Moshi?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Website

Address

Moshi
255