Kweli ya Biblia
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kweli ya Biblia, Health/Beauty, Mwanza.
Kula na ushibe mezani pa Bwana
shiba mezani kwa Bwana
13/12/2025
Matendo ya Mitume 1:8
[8]Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi.
Roho mtakatifu anakuja kwa Yule aliye tayari kumtumikia Mungu. K**a hauko tayari kuihubiri Injili basi Roho mtakatifu utamsikia Tu kwa wengine na utaona k**a wanaigiza maana Yeye Roho huja kukutia nguvu ili ushuhudie. Hilo Tu.
Click here to claim your Sponsored Listing.