Singida beekeepers
We keep bees for environmental protection and for improving human health with quality production.
10/08/2026
Tested and approved ✅🧪
08/08/2026
29/07/2026
🌿 **SINGIDA BEE PROPOLIS ELIXIR** 🐝
Bidhaa inayotokana na gundi ya nyuki
Suluhisho la asili kwa afya ya mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
✅ Hutumika kwa ajili ya afya ya tumbo na mfumo wa mmeng’enyo wa chakula.
✅ Ina wingi wa phenolic compounds hivyo hufanya haraka kwenye uponyaji wa vidonda vya tumbo na majeraha pia.
✅ Inatibu na kumaliza bakteria (H. pylori.)
✅ Inatibu changamoto za Acidic Reflux (kiungulia na kurudi kwa tindikali).
✅ Huchangia kuimarisha kinga ya mwili.
🛡️ Imesajiliwa na Wizara ya Afya Tanzania kupitia Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala (Tiba Asili na Tiba Mbadala Tanzania).
🐝 Nyuki ni Hazina!
📞 +255 758 025 262/ 0681166183
📱 singida beekeepers
05/06/2026
🍯🥑🍎 NGUVU YA ASILI: ASALI, MATUNDA NA PROPOLIS🐝
Je, unajua kuwa mchanganyiko wa Asali Halisi, Matunda na Propolis unaweza kuwa msaada mkubwa kwa afya yako kila siku?
✅ Huimarisha Kinga ya Mwili– Propolis ina flavonoids na phenolic compounds zinazosaidia mwili kupambana na bakteria, virusi na vimelea mbalimbali.
✅ Huboresha Afya ya Mfumo wa Mmeng’enyo wa Chakula– Asali na propolis husaidia kutuliza tumbo na kusaidia afya ya njia ya chakula.
✅ Huongeza Nguvu na Uchangamfu– Sukari asilia kutoka kwenye asali na virutubisho vya matunda huupa mwili nishati ya haraka na salama.
✅ Hulinda Mwili dhidi ya Uharibifu wa Seli– Antioxidants zilizopo kwenye asali, matunda na propolis husaidia kupunguza athari za free radicals.
✅ Huboresha Afya ya Moyo na Mishipa ya Damu– Virutubisho hivi vya asili vina mchango katika afya bora ya mfumo wa mzunguko wa damu.
✅ Huimarisha Afya ya Ngozi na Mwili kwa Ujumla– Vitamini, madini na bioactive compounds huisaidia ngozi kung’aa na mwili kufanya kazi kwa ufanisi.
✨ Kila kijiko cha asali, kila tunda unalokula, na kila tone la propolis ni hatua moja karibu zaidi na afya bora.
🐝 *Singida Bee Propolis Elixir & Singida Pure Honey*
*Asili Safi kwa Afya Imara.💪🍯
📞 +255 758 025 262
📱 WhatsApp: +255 758 025 262
📸
AsaliSafi Propolis WellnessJourney BeeProducts SingidaBeekeepersGroup
18/05/2026
🐝 like
18/05/2026
It’s summary of bee propolis
ACID REFLUX SI KIUNGULIA TU!
Asidi ya tumboni inapopanda mara kwa mara kwenda kwenye Esophagus (koo la chakula):
➡ Husababisha kuchoma na uvimbe
➡ Huharibu seli za koo la chakula
➡ Huongeza mabadiliko ya seli (Barrett’s Esophagus)
➡ Inaweza kuongeza hatari ya Esophageal Cancer
Dalili za kuangalia:
⚠ Kiungulia cha mara kwa mara
⚠ Kumeza kwa shida
⚠ Koo kuwaka
⚠ Ladha chachu mdomoni
Usipuuze acid reflux ya muda mrefu. Afya ya koo la chakula ni muhimu sana.
Wasiliana nasi kupitia 0758025262
17/05/2026
🍯 BEE PROPOLIS ELIXIR
✨ Natural support for your health:
✔ Antimicrobial properties
✔ Powerful antioxidants
✔ Supports healing
✔ Anti-inflammatory support
✔ Supports healthy cells
🌿 100% Natural Bee Propolis Extract
Click here to claim your Sponsored Listing.