Dr Makame, Zanzibar
Daktari wa afya anayetoa elimu sahihi kuhusu magonjwa, kinga, lishe, sukari, presha, afya ya uzazi na ustawi wa jamii.
Fuatilia kurasa zetu kwa elimu zaidi au wasiliana nasi kwa changamoto binafsi ya kiafya.
Kisukari ni ugonjwa hatari na huwapata wengi sababu kuu ikiwa ni mtindo wa maisha. Elimu Ya Afya Harvard Graduate School of Education
Umewahi kupata dalili hizi?
Zijue dalili nne kuu za mshtuko wa moyo
1. Maumivu makali ya kifua,
2. Kupumua kwa ahida
3. Kutokwa na jasho jingi
4. Maumivu kusambaa mkono wa kushoto
World Health Organization (WHO) Ministry of Health and Family Welfare, Government of India Tanzania Health Promotion Support
Angalia ndani ya mdomo kuona athari za upungufu/ukosefu wa folic acid kwa mama mjamzito inavyomuathiri mtoto
Angalia homa aina ya rheumatic fever inavoathiri moyo kupitia kinga ya mwili
20/06/2026
Je una maoni gani
06/06/2026
Unaelewa nini kuhusu PID?
05/06/2026
Zamani ilikua inaitwa PCOS, mwaka huu inebadilishwa inaitwa PMOS, Je unajua nini kuhusu polyendocrine metabolic syndrome?
03/06/2026
PID (Maambukizi ya Kizazi) ni tatizo ambalo linaweza kuathiri afya ya uzazi na kusababisha madhara makubwa ikiwa halitatambuliwa na kutibiwa mapema.
01/06/2026
🌱 UGUMBA SI HUKUMU YA MAISHA, TAFUTA SABABU NA UFUMBUZI WAKE 🌱
📞 Kwa ushauri na elimu zaidi kuhusu afya ya uzazi: 0717262733 📱 Piga simu au tuma ujumbe WhatsApp.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Website
Address
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Dr Makame, Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.