Abuu nabili herbal medicine
Abuu Nabil Herbal inatoa huduma za tiba asili kwa kutumia tiba lishe mimea ya asili ya Afrika Arabuni na India.
Huduma hizi zinalenga kuboresha afya kwa njia ya asili na ni pamoja na matumizi ya mimea kutoka shamba na lishe sahihi na kwa taratibu za afya licha ya uuzaji wa dawa asili pia tunafanya hijama kupiga chuku (cupping therapy)
hii ni huduma ya kutoa sumu mwilini kupitia damu chafu zilizoganda katika mishipa mafuta machafu (collestrol) sumu zinazosababiswa na vyakula na dawa tunazotumia. sumu hizi
Celebrating my 6th year on Facebook. Thank you for your continuing support. I could never have made it without you. 🙏🤗🎉
06/05/2026
Faida zitazopatikana kwenye kutumia kitunguu swaum na maji ya vuguvugu asubuhi kabla ya kula chochote
1. Kuimarisha kinga ya mwili
Vitunguu swaum vina kemikali k**a allicin ambazo husaidia kupambana na bakteria virusi na fangasi.
2. Kusaidia afya ya moyo
Inaweza kusaidia kupunguza presha ya damu kidogo na cholesterol mbaya (LDL) hivyo kulinda moyo.
3. Kusaidia mmeng’enyo wa chakula
Huamsha mfumo wa mmeng’enyo na kusaidia tumbo kufanya kazi vizuri hasa ukitumia kabla ya kula.
4. Kupunguza hatari ya maambukizi
Watu wengine hutumia kupunguza mafua ya mara kwa mara au maambukizi madogo.
5. Kusaidia kusafisha mwili (detox kwa kiwango kidogo)
Ina mchango katika kusaidia ini kufanya kazi vizuri ingawa (detox) si ya miujiza k**a wengi wanavyodha
Tahadhari muhimu:
Usizidishe: Punje 1–3 zinatosha. Zaidi ya hapo zinaweza kusababisha maumivu ya tumbo au kiungulia.
Kwa mwenye vidonda vya tumbo (ulcers) au asidi nyingi: Inaweza kusaidia tafuna kidogo meza au katakata
Harufu mbaya ya mdomo ni kawaida.
Ukimeza dawa za kupunguza damu (mf. aspirin nyingi): Vitunguu vinaweza kuongeza hatari ya damu kutoganda haraka
Usitumie k**a mbadala wa matibabu ya hospitali k**a una tatizo kubwa.
Jinsi bora ya kutumia:
Saga au kata punje 1–3, acha dakika 5 (ili kutoa allicin vizuri)
Meza na maji ya vuguvugu
Fanya mara 3–5 kwa wiki si lazima kila siku milele
Kwa tiba zetu fika Arusha mjini mtaa wa bondeni mbele ya msikiti mdogo bondeni Duka la nne kutoka mlango wa kuingilia kina mama Duka limeandikwa Abuu nabil Herbal
Call 0684353808/0679122820
Email 📨 [email protected]
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Swahili Street
Arusha
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 19:50 |
| Tuesday | 08:00 - 19:50 |
| Wednesday | 08:00 - 19:50 |
| Thursday | 08:00 - 19:50 |
| Friday | 09:00 - 19:50 |
| Saturday | 09:00 - 19:50 |
| Sunday | 10:00 - 19:00 |