Bone and jonts solution
TUNA SURUHISHO LA MIFUPA KUSAGANA NA MAUMIVU YA VIUNGO KWA KUTUMIA VIRUTUBISHO LISHE
�+255766715146
05/10/2024
K**a una uhitaki wa kupata watoto mapacha tuwasiliane kwa ushauri zaidi
0766715146
*UGONJWA WA PRESSURE*
☎️0766715146☎️
Ni ugonjwa unatokana na mzunguko mbovu wa damu au shinikizo la damu. Hiki ni nguvu/kiwango ambacho moyo husukuma damu kwenye kuta za mishipa inayosafirisha damu.
Kwa kawaida presha inatakiwa kuwa na wastani (120/80mmHg) ambapo 90/60mmHg (pressure ya chini) 130/80mmHg (pressure ya juu) zaidi ya hapo ni tatizo
AINA MBILI ZA PRESSURE
1. PRESSURE YA KUPANDA
Hii Mara nyingi mtu hatosikia dalili zozote mpaka pale inakuwa imeshafanya uharibifu mkubwa mwilini ambapo anakuwa ameshapata msh*tuko wa moyo kitu kinachopelekea vifo vya gafla.
*DALILI*
🌑Kichwa kuuma
🌑Kizunguzungu
🌑Kubanwa na pumzi
🌑Kutokuona vizuri
🌑Kichefuchefu
2.PRESSURE YA KUSHUKA (Hypotension)
Hii huwa chini ya (90/60mmHg) mtu huyu damu ufika kidogo katika ubongo ambapo hali hii utokea pale mtu anapofanya jambo la haraka km. Kuinama na kutaka kusimama kwa haraka
DALILI
🌑Udhaifu usioutegemea ghafla
🌑Kuanguka ghafla na kupoteza fahamu
🌑Kukauka mdomo
🌑Kichwa kuuma
🌑Kizunguzungu
🌑Kubanwa na kifua
🌑Kutokuona vizuri
🌑Kichefuchefu
WATU WALIOPO KWENY HATARI
🙄Watumiaji wa chumvi nyingi mbichi /pombe/sigara
🙄Unene uliozidi na kutokufanya mazoezi
🙄 Umri mkubwa au wazee
🙄Figo ikiwa haifanyi kazi
🙄Historia ya ugonjwa wa pressure kweny familia
🙄Ugonjwa wa kisukari
🙄Kutopata usingizi wa kutosha/Msongo wa mawazo
MADHARA YA KUTOTIBU PRESSURE
👌Huaribu mishipa ya damu katika macho(kupelekea upofu)
👌Misuri ya moyo kuwa minene
👌Mshutuko wa moyo(heart attack)
👌Mishipa wa damu Safi kuwa migumu
👌Figo kushindwa Kufanya kazi(kidney failure)
👌Kiharusi
👌Kifafa cha mimba na kufanya kiumbe kufa tumboni kwa mwanamke mjamzito
KWA MSAA ZAIDI
☎️☎️0766715146
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
Dar Es Salaam