Kanki online shop

Kanki online shop

Share

For all your skin & hair care products straight from UK
Glowish, Soft, Natural and Smooth skin

13/11/2020

The Body Shop Skin Booster Serum Available for tsh 70,000

Serum kiboko kabisa hii πŸ”₯
Unaweza paka yenyewe usoni pia ukachanganya na moisturizer yake πŸ’―

>Inang'arisha ngozi na kufanya iwe na mng'ao
>Ngozi inakuwa laini k**a ya mtoto mdogo πŸ”₯
>Ngozi ina glow
>Inafanya unakuwa na rangi moja πŸ‘ŒπŸΎ
>Inaondoa mabaka na chunusi

Karibu tukuhudumie

13/11/2020

The Body Shop Vitamin C Glow Boosting Moisturizer available for tsh 75,000

Moisturizer matata kabisaπŸ”₯
>Kwa ngozi iliyochoka, iliyo fubaa iliyokosa Nuru basi hii ndo yenyewe πŸ’―

>Inang'arisha ngozi na kufanya iwe na mng'ao
>Ngozi inakuwa laini k**a ya mtoto mdogo πŸ”₯
>Ngozi ina glow
>Inafanya unakuwa na rangi moja πŸ‘ŒπŸΎ
>Inaondoa mabaka na chunusi

Karibu tukuhudumie

26/10/2020

Palmer's Cocoa butter Formula Tummy Butter for Strech marks 130Ml... πŸ’―

A butter to treat your baby bum with love.. πŸ’―

Available to order for tsh 35,000

22/10/2020

Clean & Clear Blackhead clearing Daily Scrubs 150ML available Tsh 20,000

>Huondoa seli zilizokufa mara moja ili kufungua vishimo vya vinyweleo

>Husaidia kuondoa taka usoni na kuzuia weusi usijitengeneze βœ…

22/10/2020

Clean &Clear Dual Action Moisturizer 100ML available Tsh 15,000

>Husaidia kuondoa madoa na alama

>Kufanya ngozi kuwa laini na ya kuvutia

>Unapaka usoni na shingoni baada ya kusafisha uso wako na clean & clear daily wash πŸ’―

22/10/2020

American Dream Cocoa Butter Lemon Cream

>Body cream hii ina matokeo mazuri k**a ngozi yako imechoka na kufubaa itarudisha na kufanya ngozi inakuwa mpya kabisa

> Ngozi kuwa na rangi moja mwili mzima na kutoa madoa meusi mwilini.

> Pia k**a una matatizo ya kuwashwa ngozi ukitoka kuoga au allergy inasaidia kutuliza

> K**a ngozi yako ina matatizo ya eczema inasaidia pia

> Ngozi inakuwa smooth, soft and glowing

Available to order for tsh 40,000

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Tanzania Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 09:00 - 17:00
Friday 09:00 - 17:00
Saturday 09:00 - 12:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanki online shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.