ZackNaturals Agent

ZackNaturals Agent

Share

We formulate and sell natural serums for acne treatment

09/04/2023

Haijalishi ni aina gani ya chunusi zinazokusumbua au una ngozi ya aina gani ( Oil, normal, dry, combination or sensitive ), hii ni "Acne Free" serum ambayo inaondoa chunusi za aina zote

☘️Huondoa chunusi kubwa kubwa ambazo ndani huwa na usaha na maji maji, hizi ni bacterial acne

☘️Huondoa chunusi ndogo ndogo ambazo mara nyingi hutokea kwenye paji la uso na kidevuni, ambazo ukizikamua hutoa uchafu mweupe na mara nyingine huwa hazitoi kitu. Hizi huitwa Closed / Open comedones ( whiteheads and blackheads )

☘️Products hizi ni natural, hivyo hazichubui wala kubadili rangi ya ngozi.

☘️Imetengenezwa na natural ingredients ikiwa na main ingredient Willow bark extract na ingredients nyingine ambazo ni nzuri kwa ngozi yako

📦Product hii inapatikana kwa Tsh 17,000/= tu.
Kwa wakazi wa Dar es salaam delivery ni bure mpaka ulipo.
Kwa wateja wetu wa mikoani tunatuma kwa gharama nafuu na kwa uaminifu.

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Dar Es Salaam