fay.cosmetics_tz

fay.cosmetics_tz

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from fay.cosmetics_tz, Beauty, cosmetic & personal care, Dar es Salaam.

22/11/2023
Photos from fay.cosmetics_tz's post 13/06/2023

Cerave moisturiser ‼️‼️‼️
Hello dear customer's k**a una ndoto ya kuwa na glowing skin ni muhimu sana kutumia moisturiser laazivyo glowing skin utaisikia tu kwa jirani.

Kwa nini utumie moisturiser ?

🥝 inasaidia kuhydrate ngozi (unyevu nyevu)
🥝inazuia ngozi kupatwa na chunusi
🥝inazuia mikunjo (wrinkles)
🥝inakinga ngozi dhidi ya mionzi ya jua

Cerave moisturiser zimetengenezwa na ingridients 3
1. Ceramides
2.Niacinamide
3.Hyrulonic acid
Ingridients hizi ni nzuri kwa ngozi aina zote including sensitive , acne prone na oily skin.

Cerave AM moisturiser‼️‼️‼️

Hii ni special kwaajili ya kupaka mda wa asubuhi , inasaidia kutunza unyevu nyevu kwenye ngozi, na pia ina spf 30 hivyo ni 2 in 1 hauhitaji tena kupaka sunscreen

Cerave PM moisturiser ‼️‼️‼️

Hii ni special kwaajili ya usiku...hii mostly inasaidia ku repair ngozi k**a tunavyojua wakati wa usiku ni wakati mzuri kwa ngozi kujiponya ...inasaidia kutuliza irritations zote kwenye ngozi.

K**a una madoa ,chunusi ,oily skin , umeathirika na vipodozi vikali trust tumia hizi products

Cerave moistutiser 89mls 60,000/-

☎️ 0653 183080

02/05/2023

Combo moja matata sana kwa wale wanaopenda glowing skin...usisite kutupigia
Ushauri wa ngozi ni bureee

0653 183080

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Website

Address


Dar Es Salaam