Afya Ni uhai
Afya Bora Ni Uhai tumia tiba asilia iliyoboreshwa zaidi na kuthibitishwa na mamlaka husika
Tiba ya bawasiri kwa kutumia mitishamba asilia
JE, UNAJUA BAWASIRI NI NINI????!!
~Ni ugonjwa unaotokana na kuathirika kwa mishipa ya damu ya ndani na nnje ya sehemu ya haja kubwa na wakati mwingine mishipa hiyo huweza kupasuka/kuteleza na kuvuja damu kwenye njia ya haja kubwa na kasababisha kutoka kinyama au uvimbe
# # # *CHANZO CHA TATIZO*
~chanzo halisi cha ugonjwa huu hakijapatikana ila Kuna vitu ambavyo huwa chanzo cha kupata ugonjwa wa bawasiri ambayo ni Ă·
👉TATIZO LA KUTOPATA CHOO (CHOO KIGUMU)
👉MATATIZO YA UMRI
👉KUKAA KITAKO KWA MUDA MREFU
👉UZITO KUPITA KIASI
👉MATUMIZI YA VYOO VYA KUKAA KWA MUDA MREFU
# # # DALILI ZA BAWASIRI
👉Ngozi kuwasha katika eneo la haja kubwa
👉kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia
👉kutokea uvimbe katika eneo la haja kubwa
👉kujitokeza kwa kinyama
👉kinyesi kuwa na damu na kunuka harufu mbaya sana
*MADHARA YA TATIZO LA BAWASIRI*
👉kupata upungufu wa damu (anemia)
👉Kupata tatizo la kutokuweza kuhimil choo
👉hupunguza nguvu za kiume na kuondoa hamu ya tendo la ndoa kwa wanawake na wanaume.
👉kuathirika kisaikolojia
👉kukosa morali ya kufanya Kaz kutokana na maumivu makali
👉Kuna uwezekano mkubwa wa kupata saratani ya UTUMBOCANCER) kwa sababu kile kinyama kinakaa K**a kidonda.,,
(NOVEL DE PILE
NOVEL DE PILE NI KIRUTUBISHO CHA ASILI KINACHOSAIDIA KUPAMBANA NA BAWASIRI,
IMETENGENEZWA KWA VIAMBATA VYA ASILI AMBAVYO NI JAMII YA MALIMAO NA MACHUNGWA (CITRUS FRUITS)
INAONDOA PRESHA KUBWA KWENYE MISHIPA YA DAMU YA SEHEMU YA HAJA KUBWA
PIA UTATUMIA NA VIRUTUBISHO KWA AJILI YA KUREKEBISHA MFUMO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HUONDOA MAUMIVU MAKALI NDANI YA MUDA MFUPI SANA,
HUKATA DAMU INAYOTOKA HARAKA,
HUREKEBISHA MMENG'ENYO WA CHAKULA.
HAINA KEMIKALI IMETHIBITISHWA NA MAMLAKA HUSIKA.
Piga kupata huduma
Share na wengine pia like page yetu,,,
JINSI YA KUPAMBANA NA TATIZO LA TEZI DUME KUPITIA MITISHAMBA ASILIA.
Tezi dume nini ..ni tezi inayopatikana kwa mwanaume tu.
Mtu anapofukisha miaka arobaini na kuendelea hiyo tezi huanza KUVIMBA ikiibana njia ya mkojo.
Hivyo pale unapokojoa mkojo hauishi Kwenye kibofu unabakia..
Hapo MTU huanza kupata dalili zifuatazo.👇
1.kukojoa Mara kwa Mara Hasa nyakati za usiku.Mara Tatu au Zaidi
2.unapobanwa kukojoa huwezi kusubiri unatamani kukojoa papo hapo.
3.ukikojoa mkojo hauruki mbele unatoka kwa kasi ndogo sio k**a zamani
4.unatumia muda mrefu k**aliza mchakato wa kukojoa.
5.unapata ugumu kuanza mchakato wa kusukuma mkojo pindi unapokwenda haja ndogo
6.baada ya kumaliza kukojoa unajisikia tena hamu ya kukojoa tena unajihisi mkojo bado Upo Kwenye kibofu.
7..unapomaliza kukojoa mkojo unatoka kisirisiri na kolowanisha nguo ya Ndani .unajishangaa umelowana.
UKIONA UNA HIZO DALILI BASI UJUE TEZI YAKO IMEANZA KUVIMBA TAYARI..Yaani unatatizo La tezi dume.Sasa KUNA SULUHUSHO..
PROSTATRELAX ni bidhaa ya asili inayosaidia watu wengi sana..haina kemikali, imetengenezwa kwa mtishamba asilia.
Tazama video hapo chini kwa maelezo Zaidi na piga kwa ushauri na matibabu
👇0711348402
Usisahau kushare na wengine pia
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Website
Address
ILALA BOMA
Dar Es Salaam