jamilacosmeticstz

jamilacosmeticstz

Share

�Tunatoa ushauri wa matunzo ya ngozi na jinsi ya kutumia vipodozi sahihi kwa afya ya ngozi yako.
?

22/08/2026

✨ Glow starts with the right soap!

💛 Marine Turmeric Glow Soap kwa glow & fresh-looking skin.

🤍 Goat Milk, Rice & Seaweed Soap – kwa ngozi laini, smooth & nourished.

🌿 Beauty inspired by the ocean 🌊

Price: tsh 5000/=

📞 Call/WhatsApp: 0654 296 723

📲 Instagram: Jamila Hamad

NaturalSkincare BeautyInspiredByOcean

16/08/2026
23/07/2026

✨ VELVETTE MARINE GLOW BRIGHTENING & ACNE CONTROL FACE CREAM ✨

🌊 Beauty Inspired by Ocean

Je, unasumbuliwa na: ✔ Chunusi za mara kwa mara? ✔ Madoa meusi baada ya chunusi? ✔ Ngozi yenye mafuta mengi? ✔ Ngozi iliyochoka na kukosa mng'ao?

Velvette Marine Glow Face Cream imeundwa kwa mchanganyiko wa viambato bora vinavyofanya kazi pamoja kuifanya ngozi yako ionekane safi, yenye afya na yenye mng'ao.

🌿 Ina viambato vyenye nguvu vinavyosaidia

✅ Husaidia kupunguza chunusi.

✅ Hupunguza madoa meusi ya chunusi.

✅ Hufanya ngozi ing'ae kwa mwonekano wenye afya.

✅ Hudhibiti mafuta ya ziada usoni.

✅ Hulainisha na kuongeza unyevunyevu wa ngozi.

✅ Husaidia ngozi kuwa na rangi iliyo sawa.

👩🏽‍🦱 Inafaa kwa aina zote za ngozi.

💰 Bei: TSH 25,000 tu

📩 Agiza sasa na uanze safari ya kupata ngozi safi, yenye afya na mng'ao wa asili kwa Velvette Marine Glow Brightening & Acne Control Face Cream. 🌊💙

15/06/2026

Unatamani kuanza biashara ya vipodozi lakini hujui

pakuanzia? jamila hamad tuko kwa ajili

Yako.

🌿Tunauza vipodozi jumla na rejareja

⚡Tunatoa ushauri wa bidhaa Gani za kuanza nazo ili kutatua changamoto za wateja wako

🌿 Vipodozi ni fursa unaweza kuanza kidogo kidogo na kumiliki duka lako

⚡ Usiogope kuanza uthubutu wako Leo ndo mafanikio Yako ya kesho.

🌿 Unaweza kuanza biashara Yako hata kwa mtaji wa laki Moja na biashara Yako.

🛻Mizigo inatumwa nchi nzima kwa uaminifu mkubwa.

Tunapatikana Tegeta, Dar es salaam.

Call /Whatsapp no. 0654296723

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Tegeta
Dar Es Salaam