Medway Polyclinic Medical Centre

Medway Polyclinic Medical Centre

Share

Tunatoa huduma za vipimo vya afya.

Medway Polyclinic is a Medical Polyclinics located at Azimia House in Goba Centre at Ubungo District in Dar es salaam Tanzania, You can Contact us through +255 716 154 720

09/09/2026

πŸ“ž Follow-Up & Mawasiliano – MEDWAY POLYCLINIC

Tunajali afya yako hata baada ya kupata huduma! β€οΈπŸ’™ Tunaendelea kufanya follow-up na kuwasiliana na wateja wetu ili kujua maendeleo yao, kuwapa maelekezo muhimu na kuwasaidia pale wanapohitaji huduma zaidi.

Unahitaji kufika MEDWAY POLYCLINIC? Wasiliana nasi kwa maelekezo ya kufika na kupata huduma kwa urahisi.

πŸ“ MEDWAY POLYCLINIC – Goba Centre, Azimia House
πŸ“ž 0716 154 720
πŸ• Jumatatu – Jumapili | 7:00am – 10:00pm

Afya yako kipaumbele chetu, tuko kwa ajili yako! πŸ’™β€οΈ

Mawasiliano HudumaKwaWateja AfyaYakoKipaumbeleChetu

24/08/2026

😁SMILE WITH CONFIDENCE

🦷 MENO YALIYOPINDA YASIKUFANYE UJIFICHE!

Je, unashindwa kujiamini kwa sababu ya meno yaliyopinda? Ni wakati wa kubadilisha tabasamu lako na kuongeza kujiamini kwako! ✨

MEDWAY POLYCLINIC tunatoa huduma za Orthodontic Treatment na Braces kwa ajili ya kusaidia kusawazisha meno na kuboresha afya ya kinywa. 🦷

✨ Tunatoa:
πŸ”Ή Metal Braces
πŸ”Ή Clear Braces
πŸ”Ή Ushauri wa kitaalamu wa meno
πŸ”Ή Huduma za usafi wa meno
πŸ”Ή Huduma za jumla za meno

Usiruhusu meno yaliyopinda yakupunguzie kujiamini. Anza safari ya tabasamu lako zuri leo!

πŸ“ Tunapatikana: Goba Centre – Azimia House
πŸ“ž Mawasiliano: 0716 154 720
πŸ• Jumatatu – Jumapili | 07:00am – 10:00pm

Tabasamu lako, kujiamini kwako, maisha yako!

DentalHealth SmileWithConfidence Tabasamu MetalBraces ClearBraces Goba AzimiaHouse AfyaYaKinywa

19/08/2026

Matumizi Sahihi ya Dawa ya Kikohozi πŸ’ŠπŸ«

Usitumie dawa ya kikohozi kiholela! Kila aina ya kikohozi inaweza kuwa na chanzo tofauti, hivyo ni muhimu kupata ushauri wa mtaalamu wa afya kabla ya kutumia dawa.

Tumia dawa kwa dozi na muda ulioshauriwa.
Usimpe mtoto dawa bila ushauri wa mtaalamu.
Kikohozi kinachoendelea, kinachoambatana na kupumua kwa shida, homa kali au maumivu ya kifua kinahitaji uchunguzi wa kitabibu.

MEDWAY POLYCLINIC
πŸ“ Goba Centre – Azimia House
πŸ“ž 0716 154 720

Afya yako, kipaumbele chetu.

AzimiaHouse Afya

19/08/2026

chetu AfyaBora DawaKwaUsahihi PharmacyServices MedwayPolyclinic MedwayPolyclinic GobaCentre AzimiaHouse GobaDarEsSalaam HudumaZaAfya

18/08/2026

🀰🏽A journey of Hope,Healing and Miracles

Let's make your dreams a reality

πŸ“ MEDWAY POLYCLINIC – Goba Centre, Azimia House
πŸ“… Monday - Sunday
πŸ“ž 0716 154 720

πŸ’™ Attentive care at every stage of your pregnancy.
Karibu MEDWAY POLYCLINIC β€” tunakujali wewe na mtoto wako. πŸ‘©β€πŸΌβœ¨

AfyaYaMama AfyaYaMtoto PregnancyCare

15/07/2026
30/06/2026

πŸ“GOBA CENTRE-AZIMIA HOUSE 🏠

Photos from Medway Polyclinic Medical Centre's post 02/06/2026
Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Dar es Salaam?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Website

Address


Goba Center
Dar Es Salaam
0000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Medway Polyclinic Medical Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Dar es Salaam.