Terrax Beauty Vocational Training Centre
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Terrax Beauty Vocational Training Centre, Dodoma.
02/05/2026
Terrax Chuo Cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Mafunzo ya Amali) tulishiriki vema kabisa maandamano ya Wafanyakazi mbele ya Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Katika maadhimisho ya Meimosi Kitaifa Mkoani Njombe 2026🇹🇿🇹🇿
Tasnia ya Ufundi wa USUSI na UREMBO imekuwa moja ya ajira kwa Wanawake na Vijana katika kuhakikisha vijana wanatoka vijiweni na kuanza kujiajili na kukabiliana na ukosefu wa ajira nchini. K**a mdau wa mafunzo ya Ufundi Stadi wa Ususi na Urembo, kwa kushirikiana na Wadau na Watengenezaji na wasambazaji wa Nywele (Rasta, Weaving) Kampuni ya na leo Wanafunzi wetu wapo kwenye zoezi la Ususi wa mitindo tofauti na wametumia nywele hizi Long African braid, Celyn, Afro Puff, Nala, Princess na Wonderful. Karibu sana darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea✍️✍️ Tunapatikana Chang'ombe extention Dodoma 0758909212.

19/01/2026
Terrax Chuo cha Ufundi Stadi
Chuo cha Vitendo, Ajira kwa Vitendo✍️✍️ Karibuni saana Darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea, Mafunzo ya Ususi na Urembo, Mapambo, Ushonaji na Usafi (Basic Cleaning)
Tunapatikana Dodoma Chang'ombe Extention 0758909212☎️
19/01/2026
Terrax – Chuo cha Vitendo, Ajira kwa Vitendo✍️✍️ Karibuni saana Darasani, Usajili wa Wanafunzi wapya unaendelea, Tunapatikana Dodoma Chang'ombe Extention 0758909212☎️
Click here to claim your Sponsored Listing.
Telephone
Website
Address
Dodoma
41217
Opening Hours
| Monday | 08:00 - 16:00 |
| Tuesday | 08:00 - 16:00 |
| Wednesday | 08:00 - 16:00 |
| Thursday | 08:00 - 16:00 |
| Friday | 08:00 - 16:00 |