AVE MARIA SAUNA
AVE MARIA SAUNA is a business that provides sauna, reflexology, back massage and foot scrubs. welcome
We use natural products such as coffee, oranges, turmeric, avocado, coconut oil (rozela), mchaichai oil, mkaratusi oil, clove oil, and peanut oil.
Tunapenda kuwakaribisha wapendwa Wateja wetu wa Ave Maria sauna na Flawless spa 😍 Karibuni sana tarehe 12-14 Tutakuwepo dodoma 🔥🔥kwa huduma za Waxing, Sauna Session , Body scrub na Glow cleansing facial 😍😍usikose offer hii
03/06/2026
Our C202 facial is finally here🌿🔥🔥🔥kwa ajili ya ngozi yenye chunusi (acne) ,madoa , congested (pores zilizoziba ) and inflammed skin✨Dm or WhatsApp ufanye booking yako baada ya consultation 🔥🔥
02/06/2026
Tunapenda kuwakaribisha wapendwa Wateja wetu wa Ave Maria Sauna 🌿pamoja na Flawless Spa ❤️ Karibuni sana 12-14 June 🔥🔥🔥 Tutakuwepo Dodoma -Ilazo kwa huduma za Waxing , Body scrub na Glow cleansing facial 💕
31/05/2026
Circadia Switch treatment (anti-aging) is available🌿🌿dm or whatsapp us ili uweze kubook session baada ya proper consultation ya ngozi yako😍
Huduma ya Glow facial ipo Karibuni
✨Inasafisha pores zilizoziba
🌿Inatoa seli zilizokufa ( exfloation)
✨Inaboresha unyevu wa ngozi (hydration)
🌿Inapunguza madoa (hyperpigmentation)
Karibuni sana 😍
19/01/2026
Before facial treatment and after facial treatment 🥰Karibuni sana
Karibuni sana Ave Maria Sauna – mahali ambapo afya ya mwili na utulivu wa akili hukutana.
Hapa tunakukaribisha kwa mikono miwili upate huduma ya sauna ya kiwango cha juu, inayosaidia kuondoa sumu mwilini (detox), kupunguza msongo wa mawazo, kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza kinga ya mwili.
Imeandaliwa kwa mazingira tulivu, salama, na yenye harufu ya asili kutoka kwa mimea tiba.
Tunaamini afya ni msingi wa furaha, na hapa Ave Maria Sauna, tunakuhakikisha unapata huduma ya kukuponya, kukuburudisha na kukuweka kwenye njia bora ya maisha yenye afya.
Njoo upumzike na ujitunze katika utulivu wa kweli.
Ave Maria Sauna – mahali pa uponyaji wa mwili na roho.
01/05/2025
🌿 Mei Mosi 2025 🌿
Leo tunawaenzi mashujaa wa kazi 💪
Pumzika, jipe muda — Hakika umetumikia taifa kwa bidii!
Katika mapumziko yako... tunakukaribisha pia kwenye huduma zetu za Sauna | Massage | Scrub Kwa ajili yako, mfanyakazi hodari! 🌸
Pia msisahau kufuatilia ukurasa wetu wa Instagram Https://www.instagram.com/avemariasauna
Na Facebook https://tinyurl.com/AveMariaSauna
Karibu sana Ave Maria Sauna, Kwa Huduma Bora na za Kukusaidia katika Afya yako
MAWASILIANO:
Tupigie simu/Whatsapp:- 0739362030 au 0759362030
HOURS:
Huduma zinaanza Saa 4.30 asubuhi hadi saa 4.30 usiku.😊
LOCATION:
Tupo Dodoma, Barabara ya kwenda Nanenane, baada ya AZAM Unaingilia PETROL STATION ya kwanza KUSHOTO COMPOUND yenye GHOROFA YA KIJANI KIBICHI
26/04/2025
On this special day, AVE MARIA SAUNA together with Tanzanian Citizens we honor the historic union of Tanganyika and Zanzibar in 1964 – the remarkable birth of our great nation, the United Republic of Tanzania.
KEY MESSAGE
"Umoja ni Nguvu"
Lets uphold our unity, and build a stronger future together.
Happy Union Day!
Pia msisahau kufuatilia ukurasa wetu wa Instagram Https://www.instagram.com/avemariasauna
Na Facebook https://tinyurl.com/AveMariaSauna
Karibu sana Ave Maria Sauna, Kwa Huduma Bora na za Kukusaidia katika Afya yako
MAWASILIANO:
Tupigie simu/Whatsapp:- 0739362030 au 0759362030
HOURS:
Huduma zinaanza Saa 4.30 asubuhi hadi saa 4.30 usiku.😊
LOCATION:
Tupo Dodoma, Barabara ya kwenda Nanenane, baada ya AZAM Unaingilia PETROL STATION ya kwanza KUSHOTO COMPOUND yenye GHOROFA YA KIJANI KIBICHI
...
Karibuni sana Ave Maria Sauna – mahali ambapo afya ya mwili na utulivu wa akili hukutana.
Hapa tunakukaribisha kwa mikono miwili upate huduma ya sauna ya kiwango cha juu, inayosaidia kuondoa sumu mwilini (detox), kupunguza msongo wa mawazo, kuboresha mzunguko wa damu na kuongeza kinga ya mwili.
Imeandaliwa kwa mazingira tulivu, salama, na yenye harufu ya asili kutoka kwa mimea tiba.
Tunaamini afya ni msingi wa furaha, na hapa Ave Maria Sauna, tunakuhakikisha unapata huduma ya kukuponya, kukuburudisha na kukuweka kwenye njia bora ya maisha yenye afya.
Njoo upumzike na ujitunze katika utulivu wa kweli.
Ave Maria Sauna – mahali pa uponyaji wa mwili na roho.
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Ilazo Near By Dodoma To Morogoro Road And Opposite To Kamwana Express HQ/DODOMA
Dodoma
Opening Hours
| Monday | 10:30 - 22:30 |
| Tuesday | 10:30 - 22:30 |
| Wednesday | 10:30 - 22:30 |
| Thursday | 10:30 - 22:30 |
| Friday | 10:30 - 22:30 |
| Saturday | 10:30 - 22:30 |
| Sunday | 10:30 - 22:30 |