Ulembo wangozi naushauli

Ulembo wangozi naushauli

Share

Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Ulembo wangozi naushauli, Health/Beauty, Kahama.

Photos from Ulembo wangozi naushauli's post 25/11/2025

Happy birthday kipenz

09/07/2022

*NGOZI* *KAVU* (dry skin)

▪️Hii ngozi huwa kavu mnooo na rahisi sana kuweka Makunyanzi na mipasuko na Aina ya ngozi wengine huwapata kwa kuzaliwa au mazingira( barid/ ukame ni vyema wahanga wa group hili la ngozi kutumia vipodozi vinavyoweza kutunza unyevu kipindi kirefu pia waepukane na mafuta ambayo yako mixed na Alcohol nyingi.

Sifa ya ngozi kavu

▪️Mara nyingi Aina hii ya ngozi uuma sana bila sababu unahisi maumivu sehemu fulan just Know uko dry skin.

▪️Uso huwa mkavu mpk kutoa ungaunga.

▪️Ngozi kupasuka na kuwa na magamba/ kubanduka

26/02/2021

Kwawale wanao itaji dawa za kumeza zinazo kausha chunusi karibuni

Ulembo wangozi naushauli Send a message to learn more

02/01/2021

Kwaheri kaka yetu

31/12/2020

💋MAMBO YA KUACHA UNAPOTAKA MUMEO ATULIE👌
_ 🎆🌸KIBURI
Kuna baadhi ya wanawake wana viburi kwa waume zao,ujue shoga angu mwanaume afanyiwi kiburi mwanaume ni k**a mtoto unatakiwa umpe heshima ya kiume shoga👌

_ 🎆 🌸DHARAU
binadamu yeyote hapendi kudharauliwa👌sasa shoga ukimdharau mmeo ndio unampa chance ya kutafuta mwanamke atakaempa heshima zote k**a mume kwako atakua anarudi tu kutimiza wajibu wa mume lkn uanaume wake wote atauacha nyumba ndogo upoo👌👌💘💘💘limewachoma eeh💉💉💉💉
sizubae, msome vizuri kisha mpatie. Atatulia tu.Mikononi mwako👌💃💃
❤❤❤ ⏩💏🌸Shost, kumbuka kuwa unatakiwa kumbembeleza mumeo kwa njia yoyote mpaka atulie. Mwanaume hauzwi dukani, ‘supermarket’ wala hana bei. Ingekuwa anauzwa na bei yake inajulikana, kila mtu angekuwa naye. 👌Angetumia jeuri ya fedha kumpata anayemtaka upo👌
❤❤❤ _ ⏩💏🌸 shoga yangu kaa na mshangao sasa, wanawake wengi tu tena wana fedha nyingi, wanaumia upweke, hawana waume wa kutulia nao. K**a wewe unaye wako, tena bahati nzuri mmefunga ndoa, hakikisha unamtuliza ili ufurahie maisha yako ya kimapenzi.💏💏👌💃💃 🎆🍁TUMIA NJIA HIZI KUMWEKA SAWA MWANAUME WAKO👌

_ 🎆⏩🌹Kwanza kabisa, unapoona mwanaume wako amekuwa kiguu na njia, yaani hatulii, tafuta sababu zinazomfanya awe hivyo. Je, sababu ni wewe mwenyewe? Una wivu sana, una mdomo mchafu, kiburi, huelekei anavyokuelekeza? Labda una roho mbaya kwa ndugu zake. Tazama mambo hayo.
❤❤❤ _ 🎆⏩💏🌹hatua ya pili; Ukishajichunguza, muombe mwanaume wako kikao ili mzungumzie matatizo yenu. Usikae kimya wala usimwogope. Katika kikao hicho, mwache aongee ya moyoni, nawe sema yako, mwisho utajua nani mwenye matatizo. Baada ya hapo, fanyeni masahihisho. Ulipokosea omba msamaha.
❤❤🍁 _ 🎆⏩💏🌷Hatua ya tatu; ikiwa katika mazungumzo umegundua mwanaume wako ndiye tatizo, mweleweshe taratibu mpaka aelewe makosa yake. Achana na maneno ya watu wasiojua thamani ya mume ambao hudiriki kusema: “Atajijua akitaka atasema na mimi asipotaka aache mimi nd’o mkewe.”

Photos from Ulembo wangozi naushauli's post 28/12/2020

Je. Unasumbuliwa na chunusi na madoa usoni?
Karibu uhudumia kwakuandika tatizo lako
Ili upate ushauri bola

21/12/2020
18/12/2020

K**a unashida na ngozi yako inaruhusiwa kuuriza swali karibuni wote

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Kahama?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Culinary Team

Attire

Telephone

Address


Kahama

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulembo wangozi naushauli posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Kahama.