Afya ni nguzo ya mafanikio
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Afya ni nguzo ya mafanikio, Health/Beauty, https://wa. me/0742755527, Kigoma.
Kwa jina naitwa Dr.Meshack ambaye ninajishughulisha na utatuzi wa magonjwa mbalimbali ya kiafya napenda kuwakaribisha katika kurasa zetu ili ujipatie elimu bora itakayokusaidia kila siku asante.
07/06/2023
Afya ya uzazi wa mwanamke
06/02/2023
♓ MVURUGIKO WA HOMONI (HORMONE IMBALANCE):-
🔵 Mvurugiko wa homoni kwa mwanamke ni hali ya kuongezeka au kupungua kwa vichochezi katika mwili wa mwanamke pale anapopata hedhi, hivyo kufanya mwili kubadilika. Mvurugiko huo huathiri kila mwanamke kwa zaidi ya %80.
VYANZO VYA MVURUGIKO WA HOMONI:-
â•Uwepo wa sumu mwilini,
â•Mfumo Mbovu wa maisha,
â•Umri kuenda sana, kukoma kwa hedhi,
â•Uzito mkubwa,
â•Mabadiliko ya mazingira,
â•Msongo wa mawazo,
â•Upungufu wa lishe bora mwilini,
â•Matumizi ya njia za kisasa za uzazi wa mpango,
â• Utoaji wa mimba kiholela,
â•Ongezeko la homoni ya Androgen hupelekea mwanamke [kuota ndevu, base voice]
DALILI ZA MVURUGIKO WA HOMONI:-
🔵Uke kuwa mkavu,
🔵Maumivu wakati wa tendo la ndoa,
🔵Maumivu makali chini ya kitovu wakati wa hedhi,
🔵Upungufu wa hamu ya tendo la ndoa,
🔵Mabadiliko ya siku za hedhi mfano kupata hedhi kwa muda mrefu unaozidi siku 7 na hutoka mabonge ya dam au dam nyingi zaid kuliko kawaida.
04/02/2023
*JINSI DADA WINNY ALIVYOPONA PID NA KUSHIKA UJAUZITO *
đź’§PID-Ni Moja Kati Ya Magonjwa hatari ambayo hushambulia Mfumo Wa Uzazi Wa Mwanamke katika Maeneo Makuu Matatizo
aâś…Shingo Ya Kizazi(Cervix)
bâś…Nyama Ya Mfuko Wa Kizazi(Endometrium)
câś…Mirija Ya Uzazi(Fallopian Tubes)
đź’§Ugonjwa uu (PID) Ulimwathiri sana *Dada Winny* na alihangaika sana katika hospital ya Rufaa Pale Mbeya na Maeneo Mengine Bila Mafanikio, Kila Dawa aliyokuwa anapatiwa haikuweza Kumsaidia..
đź’§Tatizo La PID lilimsababishia *Kutoweza* *Kushika Ujauzito* na alikata tamaa ya kwamba Siku Moja na yeye Atashika Ujauzito..
đź’§Nilikutana Nae Kwa Njia Ya Mtandao Na Akanielezea Shida Yake, Ndipo Nikaamua Nilipo Mtumia Dozi ..na Alianza Kutumia K**a Nilivyo Mwelekeza..
đź’§Baada Ya Siku Sita, Ule *Uchafu* Unaonuka Ulitoweka na Baadae Akapona PID
*Habari Njeeema Niiiiiii ipi???*
đź’§Baada Ya PID kukoma ..sasa ameweza *kushika Mimba* yaani kwa sasa Yeye Ni *Mama Kijacho* na anamshukuru Mungu Kwaajili Ya Dozi Niliyompa
đź’§Yawezekana ni wewe/ndugu/rafiki au jamaa anashida ii na nyingine zinazohusiana na ii na Matatizo Ya Uzazi, Usisite Kuwasiliana nami
đź’§Text/Wasap (+255)0742755527.
22/06/2022
Njoo upate suruhisho la magonjwa haya ndani ya muda mfupi ,tupigie 0742755527
22/06/2022
Njoo upate suruhisho la magonjwa haya kwa muda mfupi sana tupigie 0742755527
25/03/2022
TIBU BAWASIRI BILA UPASUAJIII
Whatssap number +255675571292
21/03/2022
Tibu bawasiri bila upasuaji kwa doz moja kwa mwezi mmoja tu
Mawasiliano 0675571292
11/03/2022
Uterus cleaner packaged 📦 ni mkombozi wa magonjwa ya uzazi kwa wanawake ndani ya mwezi tu
Kwanini utesekee njoo upate utatuzi wa tatzo lako kwa muda mfupi sana.
Mawasiliano zaidi 0675571292
28/12/2021
Njoo hupate suruhisho tupigie kupitia namba 0675571292
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Telephone
Address
Https://wa. Me/0742755527
Kigoma
Alerts
Be the first to know and let us send you an email when Afya ni nguzo ya mafanikio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.