Wilson_healthier_tz
Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Wilson_healthier_tz, Health/Beauty, Mbeya.
03/05/2021
DAWA YA MENO
Aloe vera Toothgel(FOREVER BRIGHT)
✓Haina kemikali ya Floride
✓Ina Asali na Mshubil
✓Inasaidia kuondoa harufu mbaya kinywani
✓Ni tiba kwa
- Wenye maumivu ya jino
- Jino kutoboka/ kukatika
- Vidonda kinywani
- Ganzi au calcium ya meno
✓Inasaidia kuimarisha fizi
✓Inasaidia kuzuia fizi kutoa damu
✓Inajali Afya yako
✓Haina madhara K**a ukimeza (hivyo inafaa hata kwa watoto)
. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . .
02/05/2021
20/01/2021
Je unahitaj kupunguza uzito uliokithiri ili kuepukana na magonjwa hatarish!??
Clean9 (C9) ni program nzur itakayo kusaidia kupungua
Iwe n
> Kitambi pekee au
> Kupnguza unene wa mwil mzma
na kuufany mwil wake uwe weny nguvu na afy kabsa kwa kufany
>Detoxification na kuondoa sum mwilin
>Na kubadilisha fat kuproduce energy
>Kutumia wanga kutengeneza energy ya mwil instead of kuihifadhi k**a mafut
>Pia inapunguza rate of absorption of fat acid kweny small intestine
Hivyo haitamfanya mtu kushinda na njaa
📞📞*0756816326*
https://www.instagram.com/p/CJJThtbFNsI/?igshid=1dqus17t0stqy
Magonjwa yanaoweza kuambatana na tatizo la unene uliopitiliza
Ø Kisukari
Ø Shinikizo la damu (hypertension)
Ø Kiharusi (Stroke)
Ø Magonjwa ya moyo
Ø Tatizo la kutopumua vizuri wakati mtu yupo usingizini (Sleep apnea)
Ø Vijiwe katika mfuko wa nyongo (Gallstones)
Ø Kiwango cha juu cha lijamu kwenye damu (cholesterol ikiwemo triglycerides)
Ø Ugonjwa wa mifupa k**a yabisi (osteoarthritis).
Ø Saratani ya matiti
Ø Saratani ya tezi dume (prostate cancer)
Ø Saratani ya utumbo mpana pamoja na maeneo ya haja kubwa (Colorectal cancer)
Ø Matatizo ya mzunguko na mishipa ya damu k**a vile kuvimba kwa vena za miguuni (varicose veins)
Wilson_healthier_tz Send a message to learn more
Wilson_healthier_tz Health/beauty
Click here to claim your Sponsored Listing.
Category
Contact the business
Website
Address
Mbeya