Business , Cosmetic and Lifestyle

Business , Cosmetic and Lifestyle

Share

A mom and network marketing professional. Using smartphone to do business am happy helping others to reach their dreams.

21/03/2026

Wellosoph pack for man is all u need if u have any of this problems. Its only 250000 tsh.

Photos from Business , Cosmetic and Lifestyle's post 03/12/2025

Umewahi jua sababu ya kutumia cream ya macho hizi hapa ni baadhi ya sababu kutokana na aina ya Novage Set utakayoitumia. Makunyanzi kwenye macho, weusi kuzunguka macho, kuvimba macho, wekundu eneo la jicho, uchovu kuipa ngozi ya jicho uangalizi wa karibu na kuwa nyevu. Kwa mawasiliano piga +255658126882. Bei ni 120000 tu

05/11/2025

Nichukue nafasi hii kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai. Pia nitoe pole zangu za dhati kabisa kwa familia na marafiki waliopoteza ndugu na kupata uharibifu wowote wa Mali. Mungu awe mfariji wenu katika nyakati hizi ngumu

12/10/2025

Virutubisho muhimu kwa ukuaji mzuri wa mtoto, bei ya kuuzia 90,000Tshs kopo la mwezi mzima. Tupate shuhuda kutoka kwa watumiaji.
Mawasiliano +255658126882

10/10/2025

Milk and Honey Sugar Scrub. Huondoa uchafu mwilini pia hung'arisha ngozi yako ya Asili na kukupa rangi moja mwili mzima. Huondoa sugu na utango utango inapatikana kwatsh 65000 tu.
Mawasiliano +255658126882

Photos from Business , Cosmetic and Lifestyle's post 05/10/2025

Wellosoph Man pack ni virutubisho ambavyo ni salama kwa Afya ya miili yetu kwa matumizi ya kila siku.
Sasa hivi vyote unavipata kwenye bidhaa moja ndio hii ndani kuna .
1. Omega 3 ambayo kuna EPA na DHA hapa ipo inayohusika na afya ya ubongo na uoni wa macho ubongo hapo kumbukumbu lakini nyingine inahusika na afya ya moyo na mishipa ya damu
2. Kuna astaxinthin ambayo ni huhusika na kutoa sumu mwilini
3. Na multivitamin amabapo kuna vitamins 27 na madin 9
Vyote muhimu unavailable kwa pamoja ukinunua usisahau mwenzako Moja ni Tzs 250,000

Inatumika siku 21

Inabidi utumie box 2 unamalizia na multivitamin

Na hii Ina antioxidant na ndio maana unatumia box mbili TU.
Bei ni Tsh 250000.
Shuhuda toka kwa watumiaji kwenye picha hapo chini.
Mawasiliano +255658126882

Photos from Business , Cosmetic and Lifestyle's post 03/08/2025

Ndani ya viwanja vya nane nane Mwanza karibu sana bandani kwetu Oriflame Tanzania.
Njoo kununua bidhaa na kujaribu bidhaa zetu mpya. Bidhaa ni salama na Asili.
Kwa mawasiliano piga +255658126882

03/08/2025

Team Oriflame Dar jana kiliwaka na mkutano wa fursa na kupanga malengo ya mwezi wa Nane.
Je ungependa kuwa meongoni mwa team yenye mafanikio?
Piga +255658126882

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Mtwara?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Telephone

Address


Chikongola Mtwara
Mtwara

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Business , Cosmetic and Lifestyle posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Mtwara.