Maisha ni Afya

Maisha ni Afya

Share

Ni sehemu sahihi ambapo utapata miongozo mbalimbali kuhusu Afya na mafanikio katika maisha yako.

FAIDA ZA MAJI MWILINI 18/01/2024

https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2024/01/faida-za-maji-mwilini.html

UMUHIMU WA MAJI MWILINI.
Zifuatazo ni sababu muhimu kwa nini unatakiwa kutumia maji kwa kiwango kinachotakiwa na kwa usahihi kila siku:

1. Kulainisha viungo (Lubricating the joints)


2. Hulinda Ubongo, uti wa mgongo na na sehemu zingine muhimu mwilini.


3. Kurekebisha Joto la mwili (Regulates body temperature)

4. Kusaidia chakula kumeng'enywa

5. Kusafisha mwili au Kuondoa taka mwili (waste products).

6. Huzuia shinikizo la damu (Blood pressure).


7. Huboresha Afya ya Ngozi na kuongeza Urembo.

8. Hulinda Figo.

9. Huongeza ufanisi wa tendo la ndoa.


10. Husaidia kupunguza uzito.

P.S: Kuna baadhi ya watu wanaokunywa maji mengi kila siku lakini bado wanasumbuliwa na matatizo yanayoashiria upungufu wa maji. Sababu mojawapo inaweza kuwa ni kushindwa kutumia maji kwa wakati sahihi hivyo maji mengi hutoka nje ya mwili kabla ya kufanya kazi iliyokusudiwa.
Kunywa maji mengi katika utaratibu unaofaa inakusaidia kupunguza uwezekano mkubwa wa kupata magonjwa nyemelezi mara kwa mara na kuboresha utendaji kazi wa mwili wako kwa ujumla.
Niandikie umejifunza nini kuhusu matumizi ya maji?
Nini mpango wako sasa kuhusu matumizi ya maji?

Imeandaliwa na Lucas Robert

"Live an inspired life"

https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2024/01/faida-za-maji-mwilini.html

FAIDA ZA MAJI MWILINI Faida za maji, Umuhimu wa maji, Maji hutibu magonjwa mengi, Kunywa maji kiafya, Kwa nini kunywa maji ni muhimu

Photos from Maisha ni Afya's post 14/12/2023

*NYABIHORE SECONDARY SCHOOL -"All in one school"*

1.Mazingira bora ya kujifunzia na kufundishia.

2. Usafiri bora kwa wanafunzi na watumishi

3. Walimu wabobevu na wenye uzoefu wa kutosha...

4. Watoto hulelewa katika maadili bora yatakayowafanya kupata mafanikio katika ulimwengu wa sasa na wa baadae...

5. Masomo ya computer na kozi ya Muziki kutolewa Bureeee...

6. Utalii wandani kwenye vivutio mbalimbali ikiwemo Serengeti National Park , Sirari Boarder, Bungeni Dodoma n.k

Mlete mwanao Nyabihore secondary school

*"UBORA KULIKO KAWAIDA"*

Gusa link hapa ila uweze kupata taarifa zaidi...

https://wa.me/message/VQBA7BVUJWUKA1

SABABU 5 ZINAZOTAFUNA MAFANIKIO YAKO 06/09/2023

https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2019/11/sababu-5-zinazopelekea-anguko-lako.html

*SABABU 5 ZINAZOWEZA KUPELEKEA USIFANIKIWE*

Bila shaka unatamani kufika mbali sana katika safari yako ya mafanikio...

Lakini kila mara unajikuta unaanguka na kurudi nyuma...

Kiasi kwamba imefikia hatua ambayo unashindwa kujua sababu hasa ni zipi....

Hapa chini ndizo sababu pekee zinazotafuna mafanikio yako kila mara....
👇👇👇👇👇👇

https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2019/11/sababu-5-zinazopelekea-anguko-lako.html

*Ni sababu ipi hasa umegundua ndicho chanzo cha wewe kurudi nyuma kila mara?*

*Sharing is caring.......*

*AHSANTE*

SABABU 5 ZINAZOTAFUNA MAFANIKIO YAKO Sababu 5 kwa nini haufanikiwi haraka, Vizuizi vya kufanikiwa kwako, Ukiyajua haya utafanikiwa haraka, Nifanye nini ili nifanikiwe

HOW TO BECOME SUCCESSFUL AT SCHOOL AND COLLEGE 15/05/2023

*✓Do you know that all people have equal chance to success regardless their differences?*

*✓ You know that even best scorers most of them wewe once poorest scorers?*

*✓Here 👇are the tips on how to become successful at school and colleges*

https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2018/09/how-to-become-successful-at-school-and.html

*Sharing is caring*

HOW TO BECOME SUCCESSFUL AT SCHOOL AND COLLEGE How to become Successful at schools and colleges, how to pass exams easily, techniques which can help to ecxell in schools and colleges

NAMNA YA KUPUNGUZA UZITO NA KUZUIA KITAMBI AU UNENE KUPITA KIASI 09/05/2023

*✓Nini chanzo Cha kitambi na unene kupita kiasi katika siku za Hivi karibuni...*

*✓ Madhara ya unene kupita kiasi Ni yapi...?"*

*✓ Nifanye Nini ili kupuondoa Kitambi na kupunguza Uzito uliopitiouza...?*

Kujua haya na Mengine mengi kuhusu afya...

Gusa hapa chini
>>>>>>>>>>>>>>>>

https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2023/05/namna-ya-kupunguza-uzito-na-kuzuia.html

*Sharing is caring*

NAMNA YA KUPUNGUZA UZITO NA KUZUIA KITAMBI AU UNENE KUPITA KIASI Kitambi, Nyama uzembe, Uzito kupita KIASI, unene kupita kiasi, kiribatumbo

UBAYA WA BIASHARA MTANDAO (Network marketing) AMBAO WENGI HAWAUFAHAMU 27/04/2023

*UNAFAHAMU*
*✓Faida na hasara za Network marketing*
*✓Kwa Nini wengine wanashidwa vibaya katika Biashara MTANDAO*
*✓Nini Ufanye K**a Tayari umeshajuinga na Biashara mtandao ili ufanikiwe*

Kujua yote haya na Mengine gusa link HAPA chini...
👇👇
https://fanikiwanaafyayako.blogspot.com/2023/04/ubaya-wa-biashara-mtandao-network.html

*Sharing is caring*

UBAYA WA BIASHARA MTANDAO (Network marketing) AMBAO WENGI HAWAUFAHAMU BLOG HII IMEJIKITA KATIKA NYANJA MBALIMBALI HUSUSANI AFYA,UJASIRIAMALI,USHAURI ,FURSA ZA MITANDAONI ZA KUKUWEZESHA KUJIKWAMUA KIUCHUMI,FUATILIA BLOG H

08/03/2022

Kufuatia siku ya wanawake duniani,

Kwanza nawatakia kila Lakheri wanawake wote katika shughuli na maisha yao.

Pili, Ninapenda kuwapongeza kwa kuwapatia offer maalumu kwa ajili ya utatuzi wa changamoto zinazowakabili wanawake wengi duniani,.
Zikiwemo:-
✓Kushindwa kushika ujauzito kwa muda mrefu

✓Kutokwa na uchafu na harufu mbaya Sehemu za Siri.

✓ Kukosa hamu ya tendo la ndoa kabisa.

✓Kupata dedhi yenye mabonge mabonge K**a vipande vya nyama.

✓ Kupata Maumivu makali wakati wa hedhi kiasi kwamba unachukia maisha.

✓Kupata hedhi kwa zaidia ya siku 5.

✓Kuwa na uvimbe katika kizazi.

✓Mirija ya uzazi kuvimba au kuziba Na kadharika.

Leta changamoto inayokusumbua Kisha nitaichukua na kuifanya kuwa yangu kwa kuipambanisha na program sahihi itakayokurejeshea furaha katika maisha yako.

Jipatia zawadi Yako Sasa kwa kuandaika neno *Zawadi yangu leo* kwende WhatsApp number

*+255764075392.*

*Mafanikio Yako kwa kuwa na afya Bora ndiyo furaha yangu*

27/02/2022

*Dalili hizi Ni hatari Sana kwa kila Mwanamke......*

👉Kutokwa na uchafu wenye harufu mbaya au wa njano/mweupe hauna harufu

👉Kupata hedhi nzito mno yenye mabongemabonge k**a vipande vya nyama.

👉 Maumivu ya tumbo wakati wa siku zako lakini damu ya hedhi inatoka matone tu siku moja basi .

👉Kutokuona siku zako ili Hali hauna ujauzito.

Kupata hedhi kwa zaidi ya siku 5

👉Kuwa na mzunguko wa hedhi ambao haueleweki kabisa, mara siku zinaenda mbele mara zinarudi nyuma.

👉Kupata maumivu makali wakati wa hedhi, Unakuwa hoi huwezi hata kufanya shughuli zako

👉Kupata maumivu makali wakati wa tendo la ndoa Hali inayokufanya kukosa hamu ya tendo la ndoa kabisa.

Je umehangaika kupata mimba muda mrefu bila mafanikio.?

K**a wewe una shida mojawapo Kati ya hizo👆basi Ondoa Shaka.

Kwa sababu ikiwa umepata nafasi ya kusoma ujumbe huu tambua kwamba hii *Ni hatua nzuri Sana* kuelekea utatuzi wa changamoto Yako.

Unaweza kuamua kutokufanya chochote Leo na kuendelea na Maumivu uliyonayo.

Lakini Tiba za matatizo hayo zipo nyingi na unaweza Kutafuta tiba popote pale unapopafahamu wewe.

Ili baadaye uje kupata Maumivu zaidi ya uliyonayo Sasa.

Lakini suruhisho lako la kweli la tatizo lako Ni *Mwanamke Afya program 2* kutoka kwangu
Labda Itokee wewe mwenyewe hujaamua ila *Mwanamke Afya program 2* ndiyo suruhisho la matatizo haya

Wasiliana nami kuanzia sasahivi kupata *Mwanamke Afya program 2* ili kuondokana na changamoto yako kwa 100%

KUMBUKA: Nafasi hii Ni zawadi kwako na Ni offer kwa Watu 10 Tu,

Tuma ujumbe au piga simu namba Sasa hivi. +255764075392

MUHIMU:Ujumbe huu hautakuwepo hapa wakati wote.

08/12/2021

WEWE NI KILE UNACHOKULA

Kwa hiyo unapokula vizuri unaonesha Ni namna gani unavyojiheshimu wewe mwenyewe.

Uwe na asubuhi njema yenye mafanikio.

28/11/2021

You are what you eat
Therefore eating right is the way of showing self-respect.

10/09/2021

THE REAL PHARMACY

Want your business to be the top-listed Beauty Salon in Temeke?
Click here to claim your Sponsored Listing.

Category

Telephone

Address


Temeke

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maisha ni Afya posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Subscribe

We will notify you when anything happens in Temeke.